nyie ndo mna rungu kubwa msingetafta infi mkawa waaminifu kwa wake zenu yasinge tokea malawama yote haya.. Kaen mtulie majumbani kwenu muone kama tutawafuata huko, ndo solution pekee!
kimaumbile mwanamke ndio anakuwa victim wa kuchakachuana , kwahiyo nadhani wanawake ndio wanatakiwa kuwa makini na kubana miguu yao ili wasiwe viktimised, au sio husninyo?nyie ndo mna rungu kubwa msingetafta infi mkawa waaminifu kwa wake zenu yasinge tokea malawama yote haya.. Kaen mtulie majumbani kwenu muone kama tutawafuata huko, ndo solution pekee!
kimaumbile mwanamke ndio anakuwa victim wa kuchakachuana , kwahiyo nadhani wanawake ndio wanatakiwa kuwa makini na kubana miguu yao ili wasiwe viktimised, au sio husninyo?
nitaanza na huyu husninyo, halaf atakuja kuwahadisia wenziwe. mimi ni mhadhiri maarufu sana wa haya masuala.hahaha, ati kubana migugu!! Haya bana wapeleke lab hao ukawaonyeshe jinsi ya kufanya. Lol
nitaanza na huyu husninyo, halaf atakuja kuwahadisia wenziwe. Mimi ni mhadhiri maarufu sana wa haya masuala.
hehehee acha nichukue chaki langu nimfate. wanafunzi wa sku hizi wamekuwa watukutu kweli hawajui kumfata mwalim.hahahahaa, ngoja nikufikishie ujumbe, kipindi kimesha anza asichelewe.
hehehee acha nichukue chaki langu nimfate. Wanafunzi wa sku hizi wamekuwa watukutu kweli hawajui kumfata mwalim.
hehehehe walimu wa tusheni wanasomesha vitu haviko kwenye sylabuss kabisa yaani, watamfelisha huyu namimi staki afeli.halaf kapotea ghafla naonahahahahah1111, punguza hasira teacher , anaweza akaenda tuition???
hehehehe walimu wa tusheni wanasomesha vitu haviko kwenye sylabuss kabisa yaani, watamfelisha huyu namimi staki afeli. halaf kapotea ghafla naona.
heheehe akiludi mwambie nimekasirika na nimelog out, nikilejea nikute ameomba razi kwa kifaransa kwa kosa la kuondoka kabla kengele kulia.hahahahaaa!!! kweli umezamilia, sasa tafuta line ya zantel , maana nilimwona kona moja na sasa simone kabisa. Halafu ukimpata , asisahau vifaa vile vya practical.
heheehe akiludi mwambie nimekasirika na nimelog out, nikilejea nikute ameomba razi kwa kifaransa kwa kosa la kuondoka kabla kengele kulia.
MMM anti hapa sijakubali, uanjau nini??, Usimfungulie mtu geti, akae nje hadi alete wale mbuzi , na mpewe ile hati ya kuwa mpo huru kupractice mapenzi. Hapo akikukimbia sherianitambana. Kondom si salama sometimes,
ooohhh dear
hapo umeogea ukweli
lakini hii dunia yaa sasa
ku practise mapenzi kabla ya ndoa ni kama kula chakula..
inatokea kila dakika kila mara... ndo maana nikasema
ndo maana nika sema condom ndo solution..
hii ya kusema tusifanye kabisa kabla ta ndoa itakuwa tunajidanganya wenyewe dear..
kuna article ya moja nilisoma wanasema 9 of every 10 American
wamefanya premarital sex..
na mie nauhakika premature sex iko kila mahali labda nchi nyingine si kubwa kiasi hicho..
kwa mfano wewe upo kati ya hao 9 au huyo mmoja???.
mmmhhh naona umeniamkia leo lol
mmhh mie niko kwenye hao nane..
vipi weye???
kama mimi ni afrodenza kwanini nisisalimie afrodenzi???
Nachukia mapenzi kabla ya ndoa. kwa hiyo 1/10.
mmmhhhh Afrotu nimefurahi kusikia weye ni wale wanaoa wakiwa Virgin ...
maana si wengi wa namna hiyo waliobakia..
so congrats..
kwenye hilo kundi nimejitoa..
afrotu??mmm, afrodenza !!!Karibu,bahati mbaya!! tungekua kundi moja mambo yangekuwa swafi mno. Nishauri wapi duka la vifaa original vinapatikana (kariakoo nasikia vtyote vimechakachuliwa) labda china, vilivyo chakacvhuliwa siviamini.
mmmhhhh haya mkuu
ni wengi tuko kipandi hii..
and im wishing u all the best
kumpata alie kipande hiyo..
lakini wewe unaonaje tungekua tunaombana msamaha, kwa makosa tuliyo tenda kabla ya ndoa. maana tulikuwa tunatumia mwili wa mtu bila ruhusa yale. si unajua biblia inasema, kuwa miili hii nin mali ya wenza wetu. kwa mfano wewe mwili wako sio wako ni wa yule bwana mkumbwa wa banki kuu.
lakini sasa watu hawaombani misamaha, wanaishi nafsi zikiwa zinawashtaki, ni mateso. cha msingi ni kutapika vyote mbele ya mwenzi wako yaishe.