lakini wewe unaonaje tungekua tunaombana msamaha, kwa makosa tuliyo tenda kabla ya ndoa. maana tulikuwa tunatumia mwili wa mtu bila ruhusa yale. si unajua biblia inasema, kuwa miili hii nin mali ya wenza wetu. kwa mfano wewe mwili wako sio wako ni wa yule bwana mkumbwa wa banki kuu.
lakini sasa watu hawaombani misamaha, wanaishi nafsi zikiwa zinawashtaki, ni mateso. cha msingi ni kutapika vyote mbele ya mwenzi wako yaishe.
mmmhh haya
mie naona kuzini ni kama dhambi nyingine tu..
kwa mimi sikubaliani na kusema kla kitu kwa partner wako...( vitu ambavyo ulifanya kabla hata hukumjua)
kama we waona kusema kila kitu ndo solution basi kweli sema vyote, oungo, uwizi, kutamani n.k..
maana na uhakika hata na huyo mwenza naye atakwambie vyake....
na labda vingi hutavifurahia..
au anaweza akatae kusema au anaweza kukudanganya zaidi..
mmmhhhh sababu huwezi ingia ndani ya akili/moyo na kusoma kipi ukweli na kipi uongo..
so itabidi uamini anachosema tu..
kwa hiyo kwa mimi nilichofanya kabla ya kukutana na mume wangu...
ni kita baki hivyo hivyo..
akini uliza ntamwambia ukweli..
lakini wanaume wengi hawataki kujua mkeo alifanya nini
au ali lala na nani kabla hawakuoana..
kama wote wamepima na wako salama..
dhambi zote zinasamehewa..
ukitubu kwa nia na unyenyekevu...
duuhh samahani kwa maneno mengi...