Mimi naona funguo zote anazo mwanamke, kukataa kufanya mapenzi ni haki yake, na kukataa ni haki yake. japo kila kitu kikiongelewa tunaonekana tunamnyanyapa mwanamke. Zinge kuwa mimba zinapachikwa kwa njia ya hewa ningesema tunashida, lakini mtu anaombwa tena muda mrefu (hakuna mwanamke ukimwambia tufanye mapenzi atasema ndiyo second hiyihiyo, sijaona).
Kwa hiyo kina dada tulieni, hadi mtu atoe mahali yake, wazazi wajue, akuoe, hapo tutajua nani tumlaumu. lakini kusema sijui kondom, mara nini?? ni kudanganyana tuu. La maana taratibu zote zifuatwe ili uwe na ushahidi hata mahakamani.