Tuungane kwa pamoja kuwaombea mapadre 30 waliofariki Italy kwa Corona

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Tuungane pamoja kuwaombea pumziko la Milele Mapadre hawa ambao wamefariki Dunia nchini Italia kutokana na Virusi vya Corona.

Mapadre hawa walipata maambikizi wakati wakitoa huduma ya Kiroho kwa waathirika wa Virusi vya Corona.

Ee Mwenyezi Mungu uwape Pumziko la Milele, na Mwanga wa Milele uwaangazie. Amina

#PumzikolaMilele
#SalaniSilaha
#HurumayaMungu

 
Mpaka leo UNAOMBEA MAREHEMU/IBADA ZA WAFU?
Ombea mapadre wote duaniani wasipate corona na wasife nje ya mpango wa mungu na si kuombea marehemu hiyo ni ibada ya sanamu,

"baada ya kifo ni hukumu" wewe biblia yako ya kirumi inakwambiaje mtu akifa? anaenda masaki kusubiri aombewe ili aende mbinguni?
 
Dah!...Mungu awape pumziko la milele
 
Akilizaakoo umewazaa.masakii tu kha
Sio kwa remmy
 
Aisee.. Italy imeumia vibayaa
...
 
You made my day hongera sana sana mkuu huwa nawashangaa sana wanaowaombea wafu hivi wanatumia andiko gani?? Utamuombeaje mtu aliyekufa?? Hivi Mungu ni mjinga kiasi hicho?! Wewe ukiwa hai ufanye ushenzi wako ukitegemea uombewe ukifa?? Huo ni upumbavu wa kiwango cha PhD acheni ujinga bana maisha yako ya mbinguni unayaandaa ukiwa bado uko hai hapa duniani. jaji mfawidhi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa umekaririshwa mafundisho ya Mwakasege wewe!
 
Hebu niambie Mwakasege ni nani na anamafundisho gani?

Mimi ni Jaji na ninasoma biblia, situmii liturujia wala injili iliyo-goshiwa, sisomewi hekhma ya mwanadamu najifunza neno lililo hai
Basi utakuwa Jaji uchwara!
 
Naniikakwambiaaa washenzi awaingii mbingunii HAOO ndioo watakufunguliaa geti mpwaa.. Huwaa wanabahati sana ya kutubuu SIKU za mwishoo we uliesafi Fanya uozo uone unafia usingizjni ukisubiri kuamka
 
Naniikakwambiaaa washenzi awaingii mbingunii HAOO ndioo watakufunguliaa geti mpwaa.. Huwaa wanabahati sana ya kutubuu SIKU za mwishoo we uliesafi Fanya uozo uone unafia usingizjni ukisubiri kuamka
umeona eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…