Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matayo:24.42Naniikakwambiaaa washenzi awaingii mbingunii HAOO ndioo watakufunguliaa geti mpwaa.. Huwaa wanabahati sana ya kutubuu SIKU za mwishoo we uliesafi Fanya uozo uone unafia usingizjni ukisubiri kuamka
Wengine wana mswalia mtume Muhammad [emoji23][emoji23]You made my day hongera sana sana mkuu huwa nawashangaa sana wanaowaombea wafu hivi wanatumia andiko gani?? Utamuombeaje mtu aliyekufa?? Hivi Mungu ni mjinga kiasi hicho?! Wewe ukiwa hai ufanye ushenzi wako ukitegemea uombewe ukifa?? Huo ni upumbavu wa kiwango cha PhD acheni ujinga bana maisha yako ya mbinguni unayaandaa ukiwa bado uko hai hapa duniani. jaji mfawidhi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Axa kusomea digrii ya ujinga weweYou made my day hongera sana sana mkuu huwa nawashangaa sana wanaowaombea wafu hivi wanatumia andiko gani?? Utamuombeaje mtu aliyekufa?? Hivi Mungu ni mjinga kiasi hicho?! Wewe ukiwa hai ufanye ushenzi wako ukitegemea uombewe ukifa?? Huo ni upumbavu wa kiwango cha PhD acheni ujinga bana maisha yako ya mbinguni unayaandaa ukiwa bado uko hai hapa duniani. jaji mfawidhi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utaombeaje ambao walishakufa tayari? Ombea wagonjwa na ambao hawajapata. Soma Mhubiri:9.5
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Mhubiri:9.6 Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho zao hazijafa...Kilichokufa ni mwili...Roho zimerudi kwa muumba,mwili umerudi mavumbini...Mnawaombea ili iweje? Jiombee wewe... Hao wameshakufa na watahukumiwa kwa matendo yao duniani. MAOMBI YAKO NI USELESS KWAO.
Pdidy,
Roho zao hazijafa...Kilichokufa ni mwili...Roho zimerudi kwa muumba,mwili umerudi mavumbini...Mpaka leo UNAOMBEA MAREHEMU/IBADA ZA WAFU?
Ombea mapadre wote duaniani wasipate corona na wasife nje ya mpango wa mungu na si kuombea marehemu hiyo ni ibada ya sanamu,
"baada ya kifo ni hukumu" wewe biblia yako ya kirumi inakwambiaje mtu akifa? anaenda masaki kusubiri aombewe ili aende mbinguni?
Roho zao hazijafa...Kilichokufa ni mwili...Roho zimerudi kwa muumba,mwili umerudi mavumbini...Mnawaombea ili iweje? Jiombee wewe... Hao wameshakufa na watahukumiwa kwa matendo yao duniani. MAOMBI YAKO NI USELESS KWAO.
Pdidy,
Pdidy umekuwa sasa hata kuandika unaweza.
Ukishakufa matendo yako ya hapa duniani ndiyo yanakufuata, ibada za maziko ni kwa ajili ya waliobaki siyo kwa marehemu.
Rest in Paradise mapadre wetu /Sent using Jamii Forums mobile
Roho zao hazijafa...Kilichokufa ni mwili...Roho zimerudi kwa muumba,mwili umerudi mavumbini...
.Muh12:7
Nayo Roho kumrudia Mungu aliyeitoa nao mwili kurudi mavumbini"
"Roho za Marehemu Mapadre zipate Rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani"