Tuungane kwa pamoja kuwaombea mapadre 30 waliofariki Italy kwa Corona

Mamndenyi,
Huwezi mpangia mkulima cha kuweka ghalani na cha kulisha ngombe. Unaposema rest in paradise menas unampangia Mungu pa kuweka mavuno yake?

jiandae ukiwa hai, usisubiri kuswaliwa, mtendo yako yanakufuata na baada ya kifo ni hukumu no more no less
 
Mkuu utaombeaje ambao walishakufa tayari? Ombea wagonjwa na ambao hawajapata. Soma Mhubiri:9.5
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.

Mhubiri:9.6 Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naniikakwambiaaa washenzi awaingii mbingunii HAOO ndioo watakufunguliaa geti mpwaa.. Huwaa wanabahati sana ya kutubuu SIKU za mwishoo we uliesafi Fanya uozo uone unafia usingizjni ukisubiri kuamka
Matayo:24.42
Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu.
Matayo:24.43
Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
Matayo:24.44
Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.
Matayo:24.45
Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape watu chakula kwa wakati wake?
Matayo:24.46
Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo.
Matayo:24.47
Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
Matayo:24.48
Lakini mtumwa yule mbaya akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia;
Matayo:24.49
akaanza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi;
Matayo:24.50
bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani, na saa asiyojua,
Matayo:24.51
atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Tukeshe kwa sababu hatujui siku ambayo tutakufa. Tusidanganywe na shetani kwamba tutaombewa tukifa katika dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
samweli wa pili,
UKISOMA KITU ANGALIA. MPAKA MWISHOO UMEONE NENO KUTUBU
AIJALISHI ULIFANYA NN NDUGU MUNGU N MUNGU WA REHEMAA MSAMAHA NDIO MAANA NKAKWAMBIA HAO MNAITA WASHENZI SIKU ZA MWISHO HUWA WANAPATA NAFASI ZA KUTUBU NA MBINGUNI WANAFIKA NYIE MNAJIITA WASAFI MNAISHIA KUWA WASAFI FM
 
Mamndenyi,
Uko sawa mkuu! Mtu aliyekufa unamuombea nini? Hili corona mungu anawapiga wanaojifanya kujua haki za mashoga! Africa ni cheche tu! Japo watu wao ndo wanawatuma walete! Wakiwemo waafrica ila mungu yupo nasi.
 
Wengine wana mswalia mtume Muhammad [emoji23][emoji23]
 
Axa kusomea digrii ya ujinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwa cc waislamu 2nawaombea pia waliokufa,,lakini ha2waombei wasiokuwa waislamu.
 
Mnawaombea ili iweje? Jiombee wewe... Hao wameshakufa na watahukumiwa kwa matendo yao duniani. MAOMBI YAKO NI USELESS KWAO.
Pdidy,
Roho zao hazijafa...Kilichokufa ni mwili...Roho zimerudi kwa muumba,mwili umerudi mavumbini...

.Muh12:7
Nayo Roho kumrudia Mungu aliyeitoa nao mwili kurudi mavumbini"

"Roho za Marehemu Mapadre zipate Rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani"
 
Roho zao hazijafa...Kilichokufa ni mwili...Roho zimerudi kwa muumba,mwili umerudi mavumbini...

.Muh12:7
Nayo Roho kumrudia Mungu aliyeitoa nao mwili kurudi mavumbini"

"Roho za Marehemu Mapadre zipate Rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani"
 
Mnawaombea ili iweje? Jiombee wewe... Hao wameshakufa na watahukumiwa kwa matendo yao duniani. MAOMBI YAKO NI USELESS KWAO.
Pdidy,
Roho zao hazijafa...Kilichokufa ni mwili...Roho zimerudi kwa muumba,mwili umerudi mavumbini...

.Muh12:7
Nayo Roho kumrudia Mungu aliyeitoa nao mwili kurudi mavumbini"

"Roho za Marehemu Mapadre zipate Rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani"
 
 

Ungekuwa na akili timamu kabla ya kunakili hayo mafungu ungesogea mbele ukasoma Muhubiri 12:7

Kwakuwa wewe ni tahira Wacha nikustahi kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…