Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam, CCM imetuongoza watanganyika kwa takribani miaka 59 na kuongeza umasikini miongoni mwetu. CCM imepoteza dira hakuna Sera au mawazo mbadala inafaa sasa ipumzike sababu za kuipumzisha ni hizi;
1. Rushwa (wajumbeee)
2. Umasikini wa kutupa (wanyonge)
3. Maslahi duni kwa Watumishi wa Umma (watawala maisha ya peponi anasa)
4. Ukandamiza wa Uhuru na democrasia
5. Usiri ktk mikataba ya madini na gesi (bunge mhimili wa ccm sio taifa)
6. Elimu duni kwa watt wa malofa
7. Ukosefu wa ajiri (wahitimu vyuo vikuu)
8. Utapeli kwa wakulima (korosho)
9. Polisi kunyanyasa RAIA (kesi za kubambika)
10. Ubaguzi (kurisishana madaraka, kutesa wapinzani)
Tukutane Oktoba 28. Delete CCM kwa manufaa ya mama Tanzania, maana maendeleo yana vyama.
Wote tuseme sasa 'basi'