Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
kumbuka aliwazalo mjinga humtokeaYaani huku kuna wapambe Uchwara wa kutosha ambao nahisi akili zao kuna watu wamewapa wawashikie,,,, hivi kuna mtu wa kumshinda Mh. Magufuli kweli mwaka huu au mnaota ndoto mchana kweupe nyie?????!!!!!!! Poleni sana maana mna mategemeo hewa
Miaka 59 ngonjera zile zileKUIONDOA.CCM.SIO.KUTULETEA WASANII SA MITANDAOONI
MLICHOTAKIWA N KUPIGA MAOMBI TUCHUKIANE WENYEWE KWA WENYEWE LAKN SHIDA INAKUJA CCM.N WENGI KULIKO WAPINZAN MKIOMBA NA WAO WANAAOMBEA HAYOHAYO MNAKUTA OCTB MNAKALISHWA CHALII
Hata kama hatutarajii hivyo, kuiondoa CCM liwe ni somo kwavyama vyote kuwa ukipewa madaraka na wananchi, ukawatunikie wananchi kweli ukiwa mtumishi wao!Hahahaha, alot of funny.
Kwamba CCM, Ikitoka madarakani hivyo vyote ulivyoviandika vitakuwa sawa.
Acha kuota mchana(day dreaming) mkuu.
Bado mfumo wetu ni mbovu.
Madaraka ni matamu, hata upinzani ukiingia umaweza nogewa na kuwasahau hao uliowaandika.
Unashindana na ulpozaliwa!!mMiaka 59 ngonjera zile zile
Bora waje wengine wanaokula na kutumegea kidogo kuliko ccm wanakula na kutupiga tukilia tunafungwa kwa uchochezi.Hahahaha, alot of funny.
Kwamba CCM, Ikitoka madarakani hivyo vyote ulivyoviandika vitakuwa sawa.
Acha kuota mchana(day dreaming) mkuu.
Bado mfumo wetu ni mbovu.
Madaraka ni matamu, hata upinzani ukiingia umaweza nogewa na kuwasahau hao uliowaandika.
wameigeuza Tanzania nchi ya kifalmeBora waje wengine wanaokula na kutumegea kidogo kuliko ccm wanakula na kutupiga tukilia tunafungwa kwa uchochezi.
Wapumzike tu sasa tuijenge upya Tanz yetu.
Wewee, hao watakula mpaka akili itukae sawa. Maana hawajawahi experience. Watalewa.Bora waje wengine wanaokula na kutumegea kidogo kuliko ccm wanakula na kutupiga tukilia tunafungwa kwa uchochezi.
Wapumzike tu sasa tuijenge upya Tanz yetu.
Mimi, naona wanaotaka mfumo mpya wako sahihi.Hata kama hatutarajii hivyo, kuiondoa CCM liwe ni somo kwavyama vyote kuwa ukipewa madaraka na wananchi, ukawatunikie wananchi kweli ukiwa mtumishi wao!
Sio kujisifu, kujikweza , kujigeuza mungumtu, kudhuru na kuua wanaotofautiana mawazo na wewe, kunyanuasa wenzio, kuamua mambo kienyeji n.k...