Tuungane na Mange kumchangia Lisu

[emoji106]
 
Wajinga ndio waliwao masikini ya Mungu.
Badala ya michangi ipelekwe kwa familia,au hata ufipa unamtumia mtu kwenye akaunti yake!
Kama nyie mnavyoliwa viboga lumumba ??
 
Si uandike watu wakijiunga kwa app yake ambayo lazima ulipie kuona anayorusha.. ndio anadai akipokea pesa hizo za watu kujiunga atatoa zote ziende kuchangia kumtibu Mh. Lissu
Kwanini mlitaka kumuua rais wetu??
 
He tuchukulie kwa uchache tu
mfano
lowasa akitoa 5m kwa uchache kabisa
mbowe naye walau 4m
lema 2m
msigwa 2m
joshua nasari 2m
Halafu hawa wengine
VITU Maalum na wakuchaguliwa
wapo karibia 65
kila mmoja ajibane atoe
1m
65×1m = 65m
5+4+2+2+2= 15m
chukua
65m+15m= 80m
80 milion sio hela ndogo kwa lisu.
Sasa badala ya kufanya hivyo wao wanajirikodi na kumtupia ndugai vedeo clip
Na wakati pesa ipo nje nje
 
tutume michango yetu jamani, chochote mtu ulichonacho waweza kuchangia. pitia akaunti ya instagram ya Mange Kimambi ili uweze kujua jinsi ya kuchangia.
 
done, nimechangia "get well soon TL"
Una uhakika gani mchango wako utafika kwa muhusika,kwa nini usingetuma kwenye akaunti M4C CRDB ambako walau zikiliwa zinakua zimeliwa na chadema
 
Si uandike watu wakijiunga kwa app yake ambayo lazima ulipie kuona anayorusha.. ndio anadai akipokea pesa hizo za watu kujiunga atatoa zote ziende kuchangia kumtibu Mh. Lissu
Le madolez katika ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…