PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji106]Pamoja na kuchangia Gharama za Lissu ambazo ni ghali sana pia uangaliwe namna bora ya kupunguza Gharama zisizo za Lazima!
Kuna Kundi kubwa la Wabunge wa Chadema wamejirundika kule Nairobi kazi ku jirekodi na ku post Mipasho kwa Ndugai huku wakihudumiwa kwa michango ya Lissu Eti wanamuuguza Lissu, ni bora wangejazwa Ndugu zake badala ya Wanasiasa