Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hivi wewe unajua kama siku Yesu akirudi nchini kwake Israel atapokelewa na WA Palestine na Wala sio hao MazayuniKichwa cha habari chahusika hapo juu
Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu.
✓"Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.
9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane.
10 Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.
11 Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.
12 Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.
13 Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
14 Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za Bwana, Na dhambi ya mamaye isifutwe"
Kwa mujibu wa kitabu gani Mkuu? Tupe aya tafadhaliHivi wewe unajua kama siku Yesu akirudi nchini kwake Israel atapokelewa na WA Palestine na Wala sio hao Mazayuni
Maana hao Mazayuni ndio walitaka kumuu lakini pia Ili uwe muumini wa dini yao ya kiyahudi lazima umkane Yesu kuwa sio masiha na umtukane kuwa ni mtoto wa zinaa
Lakini wapalestine hawana shida na Yesu ndio kwanza wanasema Yesu ni Muislam mwenzao
Sasa wakiangamizwa watu ambao wanampinga na kumtukana Yesu wewe Kwa Nini unaumia?
Mkuu punguza hasira jikite kujadili Uzi uliopoWewe ni mzalendo wa Kitanzania au mzalendo wa kichawa wa israeli?
Mkuu Wapalestina hawamtambui Yesu bali wanamtambua Issa bin MariamHivi wewe unajua kama siku Yesu akirudi nchini kwake Israel atapokelewa na WA Palestine na Wala sio hao Mazayuni
Maana hao Mazayuni ndio walitaka kumuu lakini pia Ili uwe muumini wa dini yao ya kiyahudi lazima umkane Yesu kuwa sio masiha na umtukane kuwa ni mtoto wa zinaa
Lakini wapalestine hawana shida na Yesu ndio kwanza wanasema Yesu ni Muislam mwenzao
Sasa wakiangamizwa watu ambao wanampinga na kumtukana Yesu wewe Kwa Nini unaumia?
Soma yoteee 11 jion mpaka 12 siku 7Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu.
✓"Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.
9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane.
10 Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.
11 Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.
12 Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.
13 Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
14 Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za Bwana, Na dhambi ya mamaye isifutwe"
Yesu ni myahudi hakuwahi kuwa muislam.Mayahudi wanamfahamu kama Yesu wa Nazareti.Hivi wewe unajua kama siku Yesu akirudi nchini kwake Israel atapokelewa na WA Palestine na Wala sio hao Mazayuni
Maana hao Mazayuni ndio walitaka kumuu lakini pia Ili uwe muumini wa dini yao ya kiyahudi lazima umkane Yesu kuwa sio masiha na umtukane kuwa ni mtoto wa zinaa
Lakini wapalestine hawana shida na Yesu ndio kwanza wanasema Yesu ni Muislam mwenzao
Sasa wakiangamizwa watu ambao wanampinga na kumtukana Yesu wewe Kwa Nini unaumia?
Jamaa wammemdecimate hizbullah kwa asilimia 85.Mpaka.mwezi unaisha hakuna kitu inaitwa hizbullahTena pigeni sala kwelikweli Hezbollah kachafukwa mno anafyeka kama hana akili nzuri
Si kweliJamaa wammemdecimate hizbullah kwa asilimia 85.Mpaka.mwezi unaisha hakuna kitu inaitwa hizbullah
Yesu hajawahi kuwa muislam. Labda Issa bin Mariam wa kwenye koranHivi wewe unajua kama siku Yesu akirudi nchini kwake Israel atapokelewa na WA Palestine na Wala sio hao Mazayuni
Maana hao Mazayuni ndio walitaka kumuu lakini pia Ili uwe muumini wa dini yao ya kiyahudi lazima umkane Yesu kuwa sio masiha na umtukane kuwa ni mtoto wa zinaa
Lakini wapalestine hawana shida na Yesu ndio kwanza wanasema Yesu ni Muislam mwenzao
Sasa wakiangamizwa watu ambao wanampinga na kumtukana Yesu wewe Kwa Nini unaumia?
Si kweli
Mafi yako popote ulipoKichwa cha habari chahusika hapo juu