Tuungane: Tuanzishe Magazine Yetu

LIBRARY

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
231
Reaction score
238
Habari zenu wadau,

Swala la ajira limeshakua msala,

Mi nilikua naomba kama tunaweza tukajiunga watu wasiozidi kumi kwanza na kuanzisha magazine yetu ambayo itakua imejaa madini (points) na hata kama tutakua tukiandika entertainment basi tutakua tukiiandikia katika intellectual level.

Kwa kuanzia tunaweza tukaandaa magazine ambayo ni softcopy na kudistribute kila week online then tukaamia kwenye hardcopy.

Uwe na Sifa moja wapo kati ya hizi. (**Degree sio lazima sana**)
-kuandika (Writer)
-Maono (Vision)
-Commitment
-(knowledge)

Hili wazo ni kubwa sema nimejaribu kuli-summarize.
 
Nimeipenda hii naomba kuwa mwanakikundi, naweza husika na uandishi wa document za usajili wa kikundi(za kisheria), pia naweza kuandika stori fupi na ndefu na mashairi kwenye hiyo magazine. Namba yangu ni 0683455132..
 
Nipo hapa 0755 914 977, naweza andika na kuchambua mambo ya kisiasa na kuandika article mbalimbali za masomo kama history,civics,geography. Pia npate patrickpeter130@gmail.com
 
Aisee mie niko Tayari Mkuu.Hili Wazo Nilikua Nalifikiria Sana Mkuu.Niliwaza Kuanzisha Blog Mwanzoni. Ila Kwa Wazo Lako....
Kindly Add me. Nina uwezo wa kuandika sana kuusu habari za Ujasiriamali,biashara na lifestyles..

0713 162591
 
Mkuu LIBRARY Ni vizuri Ukachukua Izo namba za wadau waloojitokeza afu tukawa na Whatsapp Group..
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda hii naomba kuwa mwanakikundi, naweza husika na uandishi wa document za usajili wa kikundi(za kisheria), pia naweza kuandika stori fupi na ndefu na mashairi kwenye hiyo magazine. Namba yangu ni 0683455132..

Mkuu mwaga beti tukupe maksi...
 
Mkuu LIBRARY Ni vizuri Ukachukua Izo namba za wadau waloojitokeza afu tukawa na Whatsapp Group..

Huu Siyo Kama Ni Mtego Na Kuna Walengwa Wanatafutwa Humu? Naitamani Ila Nina Mashaka Fulani Hivi. Je Unaonaje Wewe Mwanzisha Uzi Huu Usiweke Tu Namba Yako Hadharani Hapa Na Sisi Tukutafute Wenyewe? Na Onyo Tafadhali Usije Kutuuliza JF Tunatumia ID Gani / Ipi au Zipi. Binafsi Nipo Ready Na We Can Do Something Na Ubarikiwe Mno Na Sana Kwa Kuja Na Wazo Zuri.
 
Itabidi Mkuu LIBRARY Awe Serious Sana Kwenye Hili Mana Wadau Tumelipoke Kwa Uaminifu Mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Library ukoapi? How come umeanzisha uzi afu unapotea tena!

We must work smart on it!
 
naunga mkono hoja nicheck 0764786277
Nitakucheki

Nitashiriki kuengeneza Website na kumanage LIBRARY
We utahitajika pia karibu.

Wazo zuri
Ahsante

Nimeipenda hii naomba kuwa mwanakikundi, naweza husika na uandishi wa document za usajili wa kikundi(za kisheria), pia naweza kuandika stori fupi na ndefu na mashairi kwenye hiyo magazine. Namba yangu ni 0683455132..
We pia utahitajika

Nipo hapa 0755 914 977, naweza andika na kuchambua mambo ya kisiasa na kuandika article mbalimbali za masomo kama history,civics,geography. Pia npate patrickpeter130@gmail.com
Nitakucheki

Nimekubali wazo. Na mimi pia kwa 0717210 880
juma2000@rocketmail.com
Karibu.

Mkuu LIBRARY Ni vizuri Ukachukua Izo namba za wadau waloojitokeza afu tukawa na Whatsapp Group..

Hebu Add hii namba kwenye watsapp. BTW we Daffa namba zangu unazo kama sikosei

0713338342.

Kwa ujumla samahanini kwa usumbufu. ni msimu wa sikukuu.

Ambao mmepata hiyo namba sasa hivi tunenda kuanzisha group la watsapp kwa majadaliano zaidi.
 
watu wana takiwa wawe makini sana,maana kubwa ya kutumia fake ID hapa jf ni kuficha uhalisia wako na kulinda uhuru wa mawazo,pamoja na kulinda usalama wako sasa unapo weka namba ya simu hadharani namna hiyo ni hatari kwa usalama wako..
 
Mheshimiwa admin add me @ mwananchi MUSOMMMA nipo poa ktk uhandishi wa nakala_nipo vizuri ktk masoko -NAPATIKANA KATIKA NAMBA NILIZOTUMA KTK INBOX YAKO.
 
Kuna.jamaa.yangu ni muandishi pia.wa.mambo mbali mbali makala.za.mazingira pia.na hadithi mbalimbali but nae hajafikia leo bado kama vp ni pia nkuunganishe nae mnaweza mkayajenga
 
Wakuu Kwa Wale Wote Ambao Mko Interested Ni Vyema Mkamtumia Admn Namba Zenu Then Michakato ya Whatsapp Group Iendelee..

Mkuu LIBRARY Thanks for Coming Back!
 
Last edited by a moderator:
watu wana takiwa wawe makini sana,maana kubwa ya kutumia fake ID hapa jf ni kuficha uhalisia wako na kulinda uhuru wa mawazo,pamoja na kulinda usalama wako sasa unapo weka namba ya simu hadharani namna hiyo ni hatari kwa usalama wako..

Picha Yako ktk Avatar Na Maneno Uliyoyasema Hapa Yanaendana Nikimaanisha Kuwa UMESEMA UKWELI, UNA UPEO MKUBWA na NIMEPENDA MCHANGO WAKO! Marais Nchi Hii Ni Wawili Tu Nyerere Na Mkapa Wengine Wanajaribu Tu ILA Msihofu Mkombozi Wenu GENTAMYCINE Nitawafuta Machungu Wote Mwaka 2035!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…