Habari zenu wadau,
Swala la ajira limeshakua msala,
Mi nilikua naomba kama tunaweza tukajiunga watu wasiozidi kumi kwanza na kuanzisha magazine yetu ambayo itakua imejaa madini (points) na hata kama tutakua tukiandika entertainment basi tutakua tukiiandikia katika intellectual level.
Kwa kuanzia tunaweza tukaandaa magazine ambayo ni softcopy na kudistribute kila week online then tukaamia kwenye hardcopy.
Uwe na Sifa moja wapo kati ya hizi. (**Degree sio lazima sana**)
-kuandika (Writer)
-Maono (Vision)
-Commitment
-(knowledge)
Hili wazo ni kubwa sema nimejaribu kuli-summarize.