Wenye chuki wote popote alipo wacha wajinyonge!
Mabibi na mabwana ni muda sasa wa kuuzoea utendaji mpya wa serikali yetu.
Hii mambo ya kuzurura kariakoo au magomeni siyo dili.
Wito wa mheshimiwa Rais kuwataka watendaji kuchapa kazi wakiachana na media ikiwamo mitandao ya kijamii sasa ni kwa vitendo na kutokea juu.
Waheshimiwa Magufuli, Samia, Mwinyi na Mheshimiwa Othman kupotea kwenu hadharani katika wiki mbili hizi bila shaka ni katika ule mwendelezo huo na utakuwa endelevu.
Ziara zile za kushtukiza zilikuwa zinatuletea taharuki bure.
Mitaani sasa na sisi kumetulia tunachapa kazi kweli kweli.
Ninawasilisha.