Tuuzoee utendaji mpya wa Serikali yetu - Faragha na kimya kimya

Tuuzoee utendaji mpya wa Serikali yetu - Faragha na kimya kimya

Umemuona Jaffo lakini bwashee?!!

Hata Kabudi alishaonekana akifanya mazoezi ya kujilinda na kulinda wengine.

Hii nchi yetu sote. Maridhiano muhimu. Zaidi sana turidhiane tukiwa hai.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom