B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 23, 2021 Thread starter #21 ngongoti2000 said: NAONA MPAKA LEO KIMYA KIMYA Click to expand... Walisema mficha ugonjwa ... Hiiiiii bagosha!
ngongoti2000 said: NAONA MPAKA LEO KIMYA KIMYA Click to expand... Walisema mficha ugonjwa ... Hiiiiii bagosha!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 23, 2021 Thread starter #22 johnthebaptist said: Hata Mbowe anapiga kazi kimya kimya! Click to expand... Lumumba mkoje? Mnaonekana mambo kimya kimya. Hata barakoa kimya kimya. Tuko pamoja ndugu zetu. Au nasema uongo?
johnthebaptist said: Hata Mbowe anapiga kazi kimya kimya! Click to expand... Lumumba mkoje? Mnaonekana mambo kimya kimya. Hata barakoa kimya kimya. Tuko pamoja ndugu zetu. Au nasema uongo?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 23, 2021 #23 brazaj said: Lumumba mkoje? Mnaonekana mambo kimya kimya. Hata barakoa kimya kimya. Tuko pamoja ndugu zetu. Au nasema uongo? Click to expand... Umemuona Jaffo lakini bwashee?!!
brazaj said: Lumumba mkoje? Mnaonekana mambo kimya kimya. Hata barakoa kimya kimya. Tuko pamoja ndugu zetu. Au nasema uongo? Click to expand... Umemuona Jaffo lakini bwashee?!!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 23, 2021 Thread starter #24 johnthebaptist said: Umemuona Jaffo lakini bwashee?!! Click to expand... Hata Kabudi alishaonekana akifanya mazoezi ya kujilinda na kulinda wengine. Hii nchi yetu sote. Maridhiano muhimu. Zaidi sana turidhiane tukiwa hai. Au nasema uongo ndugu zangu?
johnthebaptist said: Umemuona Jaffo lakini bwashee?!! Click to expand... Hata Kabudi alishaonekana akifanya mazoezi ya kujilinda na kulinda wengine. Hii nchi yetu sote. Maridhiano muhimu. Zaidi sana turidhiane tukiwa hai. Au nasema uongo ndugu zangu?