Tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli

Tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli

Wakuu tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli tusipuuzie yakaja kutukuta madhara kama nayopitia mimi. Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwez wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.
Duh Pole sana na hongera kwa USHINDI huo. MUNGU akutangulie japo kuna wajuba humu ndani wanasema Ngoma ni scam
 
Wakuu tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli tusipuuzie yakaja kutukuta madhara kama nayopitia mimi. Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwez wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.
Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwez wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.🥺🥺🥺😂🙌🏿😭
 
Pole sana ila hujaweka wazi kakuambukiza kipi? U.T.I GONO au kakuunga direct kwenye grid y’a taifa?? 😂😂😂

Mkiambiwa mtulie “nyenyee” nyingi haya kila la kheri usisahau kunywa dawa kwa wakati..!!
 
Back
Top Bottom