didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Umeamua kuweka kiwanda ndani kabisa.Wakuu tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli tusipuuzie yakaja kutukuta madhara kama nayopitia mimi. Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwez wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.
Duh Pole sana na hongera kwa USHINDI huo. MUNGU akutangulie japo kuna wajuba humu ndani wanasema Ngoma ni scamWakuu tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli tusipuuzie yakaja kutukuta madhara kama nayopitia mimi. Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwez wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.
Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwez wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.🥺🥺🥺😂🙌🏿😭Wakuu tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli tusipuuzie yakaja kutukuta madhara kama nayopitia mimi. Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwez wa tisa mwanzoni napeleka barua kwao nimuoe.
unazingua mzee me naelekea kuoa naweza fany upuuz kama huo?We ndo yule chalii uliepiga picha chululuu ina upele ukapost kuuliza ni ugonjwa gani?
Ana utitiri wa nyuzi za kuambukizwa uti, gono, kaswende.We ndo yule chalii uliepiga picha chululuu ina upele ukapost kuuliza ni ugonjwa gani?
Kwenye zile CTC washauri ndiyo mnatuambiaga sikuhizi ARV Zina "Sapress" vile vijidudu😂😂 kwahiyo epuka michubuko tuvijana wanajidanganya eti ukimwi wa siku hizi hauna nguvu
🤣🤣🤣Umeamua kuweka kiwanda ndani kabisa.
Tupo na wewe mpaka kikojoleo kidondoke.