MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Siungi mkono mtoto mdogo kama huyu kuingizwa kwenye harakati za siasa. Tunaandaa taifa gani? Huyu aachwe kwanza acheze na wenzake na kufurahia ladha nzuri ya uji.
View: https://www.instagram.com/reel/DFkLCcJO978/?igsh=MXd3cWZuYmNpYzlmbg==
View: https://www.instagram.com/reel/DFkLCcJO978/?igsh=MXd3cWZuYmNpYzlmbg==