Tuwaambie tu ukweli kina dada, ni wachache mno wanaopendeza kwa suruali

Tuwaambie tu ukweli kina dada, ni wachache mno wanaopendeza kwa suruali

Mimi shepu yangu kama boksi la karata bila kusahau kitambi lakn pia ni andunje na matege juu,lakn suruali ndio vazi langu pendwa kabisaaaa we mtazamaji shauri yako as long as mimi najisikia vizuri nikiivaa hiyo inatosha!
 
Kuna suruali alafu kuna suruali za jinsi, suruali za jinsi kwa kweli zinawabeba sana wanawake hata wale ambao hawana shepu kwa kiasi huwa zinawabeba.
 
Back
Top Bottom