Soma andiko langu upya.Watanzania wengi hawajui nchi ina mipango gani wala hawafuatilii kwa kina mipango ya serikali. Na ukiwa rais wa nchi hii ukiwasikiliza sana wananchi hutaongoza utaishia kukwama tu. Dawa ni kusonga mbele muhimu ujuwe dhamira yako na baraza lako la mawaziri mpo pamoja. Watanzania wasubiri matokeo tu.
Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.Soma andiko langu upya.
Hata hivyo kama wandhani kuwa hawajui mipango ya nchi, basi hakuna sababu ya kuwapa elimu ya katiba!
Waamue vile wanavyoona inafaa!
Nikwambie tu, ukweli ni kwamba kila mnyonge na mnyonge wake. Raia wanachukia sana watumishi wa umma(serikali) walio karibu nao kama vile walimu, askari! Wanadhani wao pia wanahusika kwenye kufanya maamuzi serikalini
Tubaki nayo tu hii kama ilivyowasilishwa! Yana mwisho wake hayo yote!Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
Hiyo shida ya msingi ya watanzania mtalimaliza lini Kwa Katiba hii mbovu ambayo ndiyo inawaletea hizo shida?!Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
wanasema ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja vitatu vinakunyooshea wewe mwenyewe. TafakariTubaki nayo tu hii kama ilivyowasilishwa! Yana mwisho wake hayo yote!View attachment 2748294
Kizazi hiki na kile kuna tofauti kubwa,sheria zinabadilika kila mwaka,teknolojia mpya inaingia kila siku halafu unasema hao wote hawakuona umuhimu? Hivi katiba ikibadilishwa kuna tatizo gani?hao wanasiotaka katiba mpya wanaogopa nini kama siyo hao wazee wa zamani wanalinda maslahi yao?Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
Kizazi cha utawala wa magufuli na hiki cha utawala wa samia kina tofauti gani?Kizazi hiki na kile kuna tofauti kubwa,sheria zinabadilika kila mwaka,teknolojia mpya inaingia kila siku halafu unasema hao wote hawakuona umuhimu? Hivi katiba ikibadilishwa kuna tatizo gani?hao wanasiotaka katiba mpya wanaogopa nini kama siyo hao wazee wa zamani wanalinda maslahi yao?
Usiwe punguani kiasi hicho.
Mnaposema shida ya watanzania siyo katiba mpya kwa sasa hizo shida zingine mtamaliza lini ,mbona mnawaza kwa makalio hivoHivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
Nukuulize swali leo hii ukipata katiba mpya itakuwa imekutatulia shida gani moja kubwa inayokusumbua?Mnaposema shida ya watanzania siyo katiba mpya kwa sasa hizo shida zingine mtamaliza lini ,mbona mnawaza kwa makalio hivo
Kudai katiba imeanzia lini?Kizazi cha utawala wa magufuli na hiki cha utawala wa samia kina tofauti gani?
Awamu ya 3 ninavyokumbukaKudai katiba imeanzia lini?
Ni kweli ni nchi yetu....Kuna wakati huwa natafakari na kufanya tathmini; nadhani kuna ukweli kwa kile ninachotafakari!
Viongozi wengi wa kisiasa hudhani kwamba watanzania hawajui chochote. Wanadhani kwa kuwa wao hawakuwa na fursa ya kujua mambo mengi enzi hizo wanaishi vijijini, basi wanadhani hata sasa hali ni ileile!
Siku fulani nilikuwa kwenye gari ya umma tunasafiri huku (mkoani), nikawa nazungumzia masuala ya kisiasa, baba mmoja akasema kwa kustaajabu "kumbe hata watanzania wa kawaida wanajua kinachoendelea!"
Alionekana kama vile ni mtumishi fulani wa serikali kwa haiba yake. Sikutaka kujieleza sana!
Kwahiyo kama viongozi wanadhani wananchi waliowafahamu hapo kabla ndio hawa wa leo, basi wanajidanganya!
Kuna wasomi wa vyuo vikuu wako huku vijijini wanasubiri ajira. Kuna vijana waliomaliza elimu ya sekondari (shule za kata) wapo mtaani na wanafuatilia kila kinachoendelea.
Ingawaje serikali inawarubuni kucheza kamari kwa kuruhusu biashara ya kubet, na kuhamasisha unywaji wa pombe; bado wapo wachache wanaojitambua!
Nchi ni yetu sote!
Ni jibu usiniulize swali,maana huna hoja,unaogopa nini kuruhusu katiba mpya maana hivo vipaombele ya wananchi hamna mnachofanyaNukuulize swali leo hii ukipata katiba mpya itakuwa imekutatulia shida gani moja kubwa inayokusumbua?
🤣🤣🤣🤣 .unaona sasa kumbe hata hujui kwanini unataka katiba mpya. Sasa wewe ni mfano wa wengi waliopo humu JF kupiga kelele kuhusu mabadiliko ya katiba. Elimu elimu elimu ya katiba inahitajika sana.Ni jibu usiniulize swali,maana huna hoja,unaogopa nini kuruhusu katiba mpya maana hivo vipaombele ya wananchi hamna mnachofanya
Kwahiyo kuanzia kwa kikwete huoni tofauti,jibu hoja siyo unakurupuka,hapo juu ilimjibu mdau kwamba kina Nyerere na mwinyi hawakuona umuhimu wa kubadili,nikasema kizazi kile na sasa ni sawa?unaanza kikimbia kimbia tu, mnakuwaga na mawazo mgando maana huna hoja ya kukataa katiba mpyaAwamu ya 3 ninavyokumbuka
Jibu swali unadhani katiba mpya itakusaidia jambo gani moja tuu unaloona ni la muhimu kwako?Kwahiyo kuanzia kwa kikwete huoni tofauti,jibu hoja siyo unakurupuka,hapo juu ilimjibu mdau kwamba kina Nyerere na mwinyi hawakuona umuhimu wa kubadili,nikasema kizazi kile na sasa ni sawa?unaanza kikimbia kimbia tu, mnakuwaga na mawazo mgando maana huna hoja ya kukataa katiba mpya
Nye ndo vibwengo vinavyolinda maslahi yao binafsi ndo maana huna hoja ya kujibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .unaona sasa kumbe hata hujui kwanini unataka katiba mpya. Sasa wewe ni mfano wa wengi waliopo humu JF kupiga kelele kuhusu mabadiliko ya katiba. Elimu elimu elimu ya katiba inahitajika sana.