Tuwaambieni ukweli viongozi wetu!

Jibu swali unadhani katiba mpya itakusaidia jambo gani moja tuu unaloona ni la muhimu kwako?
Kupunguza madaraka ya Urais, mahakama kumshitaki rais anapohujumu nchi,tume huru ya uchaguzi ...hili nila muhimu sana maana tunaongozwa na viongozi wa ajabu ajabu
 
Kupunguza madaraka ya Urais, mahakama kumshitaki rais anapohujumu nchi,tume huru ya uchaguzi ...hili nila muhimu sana maana tunaongozwa na viongozi wa ajabu ajabu
Umeisoma katiba ya sasa na ukaielewa vizuri?
 
Watu bana wakibahatika kupa pesa nyingi hubadirika kwa wale wabeba dhamana nawao wanakuwa na tabia ya unyumbu ambapo huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia kundi fulani na uoga
 
wanasema ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja vitatu vinakunyooshea wewe mwenyewe. Tafakari
Sasa mi nimefanyaje mkuu?
Au hujamsikia aliyetamka?
Mie nimefanya kugoogle tu kujua maana!
Your browser is not able to play this audio.
 
Tubaki nayo tu hii kama ilivyowasilishwa! Yana mwisho wake hayo yote!View attachment 2748294
Samahani, naomba kuuliza wanajf kwa heshima na taadhima; kama kweli hii ndio maana iliyokusudiwa na kiongozi wetu kwa kutumia lugha ya kiarabu kutoa dukuduku lake, je wajomba wakikodishwa hiyo bandari kwa mkataba wa milele; si watakuwa wanawagombeza (insult) wafanyakazi wa kitanzania kwa kiarabu??
Nimeuliza tu jamani sio kwa ubaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…