mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ni saikolojia ndogo tu! Kuufanya uwanja wa ugenini katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa, na kuwaona washangiliaji wa timu ya Wydad kama kikundi cha Kidedea!! Wakifanikiwa hao Simba watajiona kama wako kwenye dimba la Kwa Mkapa! Kama kawaida, Kwa Mkaa hawatoki!!