Mmh. Kapeace umeamua kunifukua leo. Hahahaaa.Joseverest anazo mada lkn sio nyingi nilivyomuelewa ni wale wasiopenda kuandika mada mara kwa mara mf mwingine ni emmyta nae ana uzi mmoja tu hiyo ni sawa na hakuna tu lkn kwa kuchangia sasa uzi gani emmyta utamkosa
Hahahaaa. Nshapita mdogo wangu.hahha emmyta pita huku
Hahahaa. Kweli kabisa. Nyuzi nyingine ni kichefuchefu.Ni mara kumi hao ambao hawana uzi kuliko huu au ule mwingine wako wa viazi na matunda..yaani rubbish!!
Hahahaa. Ila rafiki na wewe uko vizuri aisee. Unazo unazo. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu naomba siku ukiwa tayari niambie kikuelekeze bana huko ku upload.Mi huwa nataka kuanzisha sasa tatzo ku upload Picha au video ndo mziki.
We like you just the way you are.Mmh. Kapeace umeamua kunifukua leo. Hahahaaa.
Huwa sina mzuka kabisa wa kuanzisha uzi halafu sijajua ni kwa nini aisee. Likes na ma msg niliyonayo yote ni ya kwenye nyuzi za watu lol.
Watanisamehe tu kama kuna watu nawachukiza.
Hahahaaa. Labda.Unataka kuwapa zawadi?
Thank u much! Sababu nimejikuta najishtukia lol.We like you just the way you are.
Hahah!! rafiki sio vizuri hvyo [emoji1] [emoji1] ila hizo nyuzi za nyuma naomba uzipuuzie maana nilianzisha nikiwa sina akili zangu timamu [emoji12] [emoji12]Hahahaa. Ila rafiki na wewe uko vizuri aisee. Unazo unazo. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndo kwanza unasomeka seniorMbona mm sijatajwa???
Hahahaaa. Sitaki mieee. Ujue nimejikuta nacheka kwa sauti. LolHahah!! rafiki sio vizuri hvyo [emoji1] [emoji1] ila hizo nyuzi za nyuma naomba uzipuuzie maana nilianzisha nikiwa sina akili zangu timamu [emoji12] [emoji12]
Ulikua msukule ama?Hahah!! rafiki sio vizuri hvyo [emoji1] [emoji1] ila hizo nyuzi za nyuma naomba uzipuuzie maana nilianzisha nikiwa sina akili zangu timamu [emoji12] [emoji12]