Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

emmyta unanitisha sasa maana kila kitu wewe unanitoaga tu wasiwasi bhn siku nyingine uwe unabisha kidogo.... hahah
Hahahaaa. Sitaki mieee. Ujue nimejikuta nacheka kwa sauti. Lol

Emmy ni mchunguzi balaa kabla hajajiaminisha kitu lazima akipembue kwanza hivyo wala usijali kabisa rafiki. Sababu amjua vyema rafiki yake Davet ni mtu wa aina gani.

Hivyo ondoa shaka kabisaaa. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
hiki chama cha wachangiaji thread au wazee wa ku quote inabidi kitambulike katika katiba ya jf

maana pasipo sisi wachangia thread huwa hizi thread zenu zinakufa kifo cha mende

sisi ndio huwa tunazipaka rangi kwa kutoa michango mizuri inayozifanya ziwe zinamvuto na kuvuta watu wengi waje kuchangia mawazo yao humu

kama kuna dada mmoja yani akishaweka mawazo yake kwenye thread yako basi ujue imeshabarikiwa na itajavuta watu mbalimbali kuja kuchangia

big up popote ulipo kapeace
 
Back
Top Bottom