Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,659
Wote tukisoma sifuri atapata nani..? Nyie anzisheni hizo thread zenu sie tutachangia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Sitaki mieee. Ujue nimejikuta nacheka kwa sauti. Lol
Emmy ni mchunguzi balaa kabla hajajiaminisha kitu lazima akipembue kwanza hivyo wala usijali kabisa rafiki. Sababu amjua vyema rafiki yake Davet ni mtu wa aina gani.
Hivyo ondoa shaka kabisaaa. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Unaigiza kubisha tu au ubongo movie wewe huuwezi? [emoji1]Hahahaaa. Kama hakuna cha kufanya nibishe naanzaje kubisha rafiki.Teh.
Hahahaaa. Hapana mie siwezi rafiki. Wewe unauweza nini?Unaigiza kubisha tu au ubongo movie wewe huuwezi? [emoji1]
My exact sentiments.Ni mara kumi hao ambao hawana uzi kuliko huu au ule mwingine wako wa viazi na matunda..yaani rubbish!!
Hahah.. tumetukana ote hatuwezi rafikiHahahaaa. Hapana mie siwezi rafiki. Wewe unauweza nini?
Ooh. Hapo sawa.Hahah.. tumetukana ote hatuwezi rafiki
mvivu san kuandikasijawahi kuona uzi wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mvivu san kuandika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] rudi huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa. Nimecheka sana lol.[emoji23] [emoji23] [emoji23] rudi huku
kwa nin dadaHahahaaaa. Nimecheka sana lol.