Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

Mkuu na wale wanaoanzisha Uzi wa Kiingereza kwenye Jukwaa la Kiswahili then watu tunashindwa kuchangia unakuta view (423), comment (7), Siju vipi, baada ya kupeleka kule international forum upate comment nyingi unaleta mambo ya Chuo kikuu huku kindergaten
 
Hahaaa fact
 
Ni mara kumi hao ambao hawana uzi kuliko huu au ule mwingine wako wa viazi na matunda..yaani rubbish!!
Yani unanichekeshaga [emoji3] [emoji3] [emoji3] nakuimagine ulivyo hahahaaa utakua huna hata muda wa kusocialize mda wote serious tu[emoji3] [emoji3]

BTW mimi ni mmoja kati ya wasioanzisha nyuzi lakini mada zikinigusa mara moja moja nachangia, kwangu inanitosha kabisa
 
Joseverest anazo mada lkn sio nyingi nilivyomuelewa ni wale wasiopenda kuandika mada mara kwa mara mf mwingine ni emmyta nae ana uzi mmoja tu hiyo ni sawa na hakuna tu lkn kwa kuchangia sasa uzi gani emmyta utamkosa
oooh yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…