nisogelee mama mi ni mpole[emoji28]
nenda kalale najua leo uko na mood swings😅I want it here darling 😌😘
Kama vile unajielewa Vee...Kuna mda pesa haina mashiko jaman
[emoji4]Jamani Mimi ndio napenda wanaume wa hivyo, ila sipati[emoji19][emoji23]
Dah! Mwamba unaongea kinoma tembea na chaki pisi hii inapenda maneno maneno 😂😂😂😂Kama vile unajielewa Vee...
Umemalizaaaa haswaaaaah.Muhimu anajua kufunuana usiku
Hayo mengine ya kuchangamka atachangamka akikuzoea sana
Njoo nikugawieee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani Mimi ndio napenda wanaume wa hivyo, ila sipati[emoji19][emoji23]
Nakuja PM😂😌😘Njoo nikugawieee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Silali bila wewenenda kalale najua leo uko na mood swings😅
naomba umuache huyo ni wakwangu 😅Njoo nikugawieee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo dear, [emoji23][emoji23][emoji23]Nakuja PM[emoji23][emoji18][emoji8]
Kilaji kinachangamsha mwili na akilewaaaa😂
Sasa wee umechangamka mnoo hakutakiinaomba umuache huyo ni wakwangu [emoji28]
Kwenye hela hawa watu ni hatari Sana. Kuna mmoja nimejuana nae ndani ya wiki iliyopita kitu Kama Alhamisi, baada ya kuwa single kwa muda nikaona ngoja nipate mtu wa kupunguzia majanga haya. Aisee mpaka Leo ashanilamba Kama kilo tatu hivi. Na bado sijaonesha hata nia ya kumtongoza imebidi nichange gia angani.Kwahiyo siku hizi hela hamtaki tena?
na kunyoosha viungo😅 pia kuondoa mikosi....Kilaji kinachangamsha mwili na akil