Hao wanaume wenyewe wanajua wanachopeana mi hata sijui mkuu🤣Sasa unataka apewe kitu gani?😂😂😂
Dah! 😂😂😂😂Weuweeeeeeeeee!!!!! Hapo sasa mie rohoo kwatuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiona manzi unaongea ongea sana namkwepa sipendi mtu kidomo domo. La sivyo uwe unaongea vya maana sio me nina moja wewe una kumi.Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.
Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
Nakupendaaaaaaa [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]Dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, na wewe utakuwa mdau wa kazi ile ya sayansi na teknolojia????Leteni mbwembwe Roboti za Eloni zipo karibu Kuja nchini. Mtatutafuta na hamtatupata.
Hii nayo ni pisi eeeh!😂😂😂😂Nikiona unaongea ongea sana nakukwepa sipendi mtu kidomo domo. La sivyo uwe unaongea vya maana sio me nina moja wewe una kumi.
Acha zako wewe! Ukigongwa na wewe si inasimama hio😂😂😂😂Nakupendaaaaaaa [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Nina dushee mkuu.Hii nayo ni pisi eeeh!😂😂😂😂
Na ww u akaaje na demu anacheat na unajua,alikuona boyaKuna demu nilikuwa namuonesha upole anacheat na nagundua nikawa namwambia uombe niendelee kunywa pombe nikiacha pombe itakuwa zamu yako akawa haamini nilitulia kama mwaka na point nikapumguza pombe saiz ananiomba niendelee kunywa pombe,tukitulia msitake tuwe wajanja
Achanae kelele nyingi za chura hazimzui tembo kunywa maji tamba umenipata na upo pekee humu hakuna ataekubabaisha naahidi!cocastic kanichimba biti kuwa akiniona karibu na wewe ananipiga roba ya mbao🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machozii, mie haijawahi simama, ililala tangu tumboni kwa mama, ko haiamki milele.Acha zako wewe! Ukigongwa na wewe si inasimama hio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mdanganye huyo mwenzio, atajua hajui.Achanae kelele nyingi za chura hazimzui tembo kunywa maji tamba umenipata na upo pekee humu hakuna ataekubabaisha naahidi!
Hata hamjui mnatakaga nini masikini 😂Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.
Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
Umemuuza mwenzio😂Hao wanaume wenyewe wanajua wanachopeana mi hata sijui mkuu🤣
Just let it go broo! What’s big deal about this 😂😂😂Manzi yako toka lini🤣 manzi yako ni cocastic huyo ni chombo ya super villain Gily we lia lia tu bure