Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.

Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
Nikiona manzi unaongea ongea sana namkwepa sipendi mtu kidomo domo. La sivyo uwe unaongea vya maana sio me nina moja wewe una kumi.
 
Kuna demu nilikuwa namuonesha upole anacheat na nagundua nikawa namwambia uombe niendelee kunywa pombe nikiacha pombe itakuwa zamu yako akawa haamini nilitulia kama mwaka na point nikapumguza pombe saiz ananiomba niendelee kunywa pombe,tukitulia msitake tuwe wajanja
Na ww u akaaje na demu anacheat na unajua,alikuona boya
 
Acha zako wewe! Ukigongwa na wewe si inasimama hio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machozii, mie haijawahi simama, ililala tangu tumboni kwa mama, ko haiamki milele.

Hebu acha uoga naweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.

Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
Hata hamjui mnatakaga nini masikini 😂
 
Back
Top Bottom