dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kwa waliosoma Cuba tu🤣🤣🤣🤣
Kweli🙄?, Kivipi?Ni msalaba aisee watu wa hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bas bhana mkifika uko ye atachagua penye kagizagiza atatulia huko utamsimulia vyoote utamwonesha vyoote ila ye atakuwa anakenua tuuu kama ndo mchana atavaa kapelo ohooo chezea ukimya wewMtoe out weekend mtoke wote mwende klabu ama sehemu za watu mchanganyiko kama hatulii vilevi mafundisho kidogo atachangamka
Pole nna mdogo wangu wa hivyo ila alikuwa amepata kazi mikoan huko alivyokuja kurudishwa kazi dar sikuiz hata kupiga story na wanawake kwenye simu na wakikutana live anaweza alikuwa mpole sanaa ila saivi anapiga story na amechangamka...kuna mda hata unatamani ajanjaruke ila sasa kagandaaa tu
dronedrake kwanini usiige career ya huyu jamaa😂 paid to f*ck, hakuna mizinga....
zamu yangu inakaribia sio?? 😂Uwe na utulivu😂😋😘😌
haswaaa, tatizo ni na-apply wapi ?dronedrake kwanini usiige career ya huyu jamaa😂 paid to f*ck, hakuna mizinga....
Kwanini wakina dada mnapenda maisha ya gubu, amani ikitawala mnaona shida. Kuishi kama watoto wa chuo wakati ni mtu mzima, huo upumbavu sijui kwanini hauwatoki hata mkishakuwa watu wazima. Yaani peace is everything!Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno
Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
hamia US, kuna kampuni inaitwa mindgeekhaswaaa, tatizo ni na-apply wapi ?
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno
Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Mpe muda,huna haja ya kufanya juhudi zozoteKo apewe mda[emoji1787][emoji1787]
Wanawake siku mkijua mnachokitaka; na Masihi Atakuja siku hiyo hiyo wallahi 😁😁😁