Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

6D0AFA53-7724-4F5F-BEE8-2D0F237CB5CA.png
 
Mtoe out weekend mtoke wote mwende klabu ama sehemu za watu mchanganyiko kama hatulii vilevi mafundisho kidogo atachangamka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bas bhana mkifika uko ye atachagua penye kagizagiza atatulia huko utamsimulia vyoote utamwonesha vyoote ila ye atakuwa anakenua tuuu kama ndo mchana atavaa kapelo ohooo chezea ukimya wew
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno

Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Kwanini wakina dada mnapenda maisha ya gubu, amani ikitawala mnaona shida. Kuishi kama watoto wa chuo wakati ni mtu mzima, huo upumbavu sijui kwanini hauwatoki hata mkishakuwa watu wazima. Yaani peace is everything!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! Hapa unadhihirisha ile kauli kwamba mwanamke hajui anataka nini, sema kama unataka wakulugwa utapigwa matukio mpaka utakufa na presha

Back
Top Bottom