Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Ndiyo maana huwa nawaambia vijana, hawa wanawake wavueni vyupi wachezeeni watieni mimba muwatelekeze, kazi yenu iwe kuhudumia mtoto tu akikua mchukue... Hawa wanawake hawana akili ukiwa mkali hawatak, ukiwa mpole hawatak, ukiwapa pesa wanakuona mjinga, ukiwa bahiri wanaona hufai, ukiwapiga hufai ukiwachekea wewe bwege...
Acha masingo maza muongezeke
 
Stori huwa hatuna ila kuandika tunaweza kwahiyo kama mnapenda stori nyingi tumien njia ya kututumia meseji
lakin pia kuna muda tukiona meseji tunajihisi hatuna mood ya kujibu kwahiyo msijiskie vibaya huwa tunajibu kwa kuchelewa tunapokua na energy maana kuna mesej unaweza kuiona ukahisi huu siyo muda wa kujibu kitu cha namna hii.

Cha msingi muelewe tu kuna muda tutakua tunawahitaji lakin kuna muda tutahitaji kuwa peke yetu maana stori zikizidi huwa tunaona ni kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…