Tuwache lawama juu ya jeshi la polisi. Safisha safisha ya wahalifu wanaotumia silaha hufanyika hivi dunia nzima

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua.

Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha.

Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu.

Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga watu risasi na kuleta hofu kwa jamii.
 
Kwanza hawa panya road wametokea wapi? Kabla ya kufananisha na hizo nchi.
Ilikuwaje tukawa na panya road.??????....
 
Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua.

Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha.

Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu.

Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga watu risasi na kuleta hofu kwa jamii.
Kweli kabisa wale vyuma tu nashangaa Watu wanaoleta siasa kwenye uhalifu.
Usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane na nusu vibaka waliruka ukuta wakaungia kwangu(sio panya road) bahati nzuri nilishtuka nikaamka wakakimbia.
 
Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua.

Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha.

Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu.

Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga watu risasi na kuleta hofu kwa jamii.
Mwizi asiyetumia silaha ni afadhali
Ila huyu anayetumia silaha na kujeruhi(jambazi) huyo anapaswa ashughulikiwe vilivyo
 
Back
Top Bottom