Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
[emoji1][emoji1][emoji1]Nilipoona tu umeandika "siraha" nikajua utakuwa ni zuzu
Kwanza hawa panya road wametokea wapi? Kabla ya kufananisha na hizo nchi.Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua.
Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha.
Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu.
Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga watu risasi na kuleta hofu kwa jamii.
Tena grade ANilipoona tu umeandika "siraha" nikajua utakuwa ni zuzu
Kweli kabisa wale vyuma tu nashangaa Watu wanaoleta siasa kwenye uhalifu.Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua.
Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha.
Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu.
Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga watu risasi na kuleta hofu kwa jamii.
Ulimi unakijifupa[emoji1][emoji1][emoji1]
Nina degreeTena grade A
Mchongo wa mama yakoItakuwa ya mchongo hiyo
Mwizi asiyetumia silaha ni afadhaliHuko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua.
Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha.
Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu.
Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga watu risasi na kuleta hofu kwa jamii.
DooohNilipoona tu umeandika "siraha" nikajua utakuwa ni zuzu