Tuwaenzi wanamuziki, wanamichezo na Wasanii toka Mbeya

Tuwaenzi wanamuziki, wanamichezo na Wasanii toka Mbeya

kaliwonela

Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
18
Reaction score
17
Mkoa wa Mbeya ni mkoa uliojaliwa kuwa na vipaji sana. Leo naona tuwakumbuke kwa kuwataja hao watu wenye asili ya huko na waliouletea mkoa huu sifa kubwa ndani na nje ya Tanzania

1. Omary Mkakile (Mkali)
2._Ezekiel Greyson Jujuman
3. Edgar Fongo
4. Bass guitarist John Mwalyanga
5. Bahati Bukuku
6. Rayvann
7. John Lwaga
8. Ant Ezekiel
9. Ambwene Yesaya
9. Mike T. Mwakatundu
10. Uhuru Selemani
11. Bujibuji
12. ....
13......
 
Aliyefanikisha ujenzi wa lift ya kwanza Mbeya mjini. Simjui jina lake, lakini huyo ndio kauletea sifa mkoa kuliko wote hapo juu.
 
images (7).jpeg
Anti ezekiel aliutangaza sana mkoa wa mbeya katika ile safari yake maarufu ughaibuni na waziri nyalandu
 
Lif
Aliyefanikisha ujenzi wa lift ya kwanza Mbeya mjini. Simjui jina lake, lakini huyo ndio kauletea sifa mkoa kuliko wote hapo juu.[/QUOTEl lift unaona bonge la deal!!?....kama mji hauna majengo marefu lift ya mini!?
 
Back
Top Bottom