Tuwafahamu baadhi ya Masensei wetu wakongwe waliofanya kazi kubwa na wanaoendelea kueneza Misingi ya Karate Tanzania

Tuwafahamu baadhi ya Masensei wetu wakongwe waliofanya kazi kubwa na wanaoendelea kueneza Misingi ya Karate Tanzania

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Hawa ni baadhi yao wana karateka uwanja wenu na kama kuna wengine waongezeeni


1.Sensei Yahya O Mgeni
2.Sensei phillip Chikoko
3.Sensei Daudi Magoma
4.Sensei Khery kivuli
images%20(2).jpeg
images%20(3).jpeg
images%20(5).jpeg
FB_IMG_15832375209489003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu mchezo nikajitia kiherehere kwenda kujifunza..

eebaanaee nilipigwa teke moja LA round kick..kwenye USO, shavuni upande wa sikio,usawa wa shingo;hata sijui litokea wapi..!?

nilisikia kwa mbaliii napewa polee, poleee...huku najivunga kuugulia maumivu ya ndani kwa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah
 
Sensei NGUVU aka Bruce LEE picha ntaweka baadae sana
 
Back
Top Bottom