[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daahhuu mchezo nikajitia kiherehere kwenda kujifunza..
eebaanaee nilipigwa teke moja LA round kick..kwenye USO, shavuni upande wa sikio,usawa wa shingo;hata sijui litokea wapi..!?
nilisikia kwa mbaliii napewa polee, poleee...huku najivunga kuugulia maumivu ya ndani kwa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya mwisho hiyo huyo anapatikana magomeni annex..katutrain sana GOJU RYU.Hawa ni baadhi yao wana karateka uwanja wenu na kama kuna wengine waongezeeni
1.Sensei Yahya O Mgeni
2.Sensei phillip Chikoko
3.Sensei Daudi Magoma
4.Sensei Khery kivuliView attachment 1376743View attachment 1376744View attachment 1376745View attachment 1376746
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Mkuu umenikumbusha huyo Sensei dah Musoma hiyo.....!!Bila kumtaja Sensei Abdalah Mkamba sitakuelewa!
Wale wa kanda ya chuchu watanielewa zaidi
Huyu mwamba ni hatari sana. Wazee wa ukumbi wa MCC pale Musoma wananielewa zaidi!
Aisee ila jamaa mpole sana,mtulivu mno....!!Huyu mwamba ni hatari sana. Wazee wa ukumbi wa MCC pale Musoma wananielewa zaidi!
Leo ni mtu wa Ibada na swala mno!
Na watu wakishajua we NI MTU WA karate wanakuwa hawakuchokoziUnafanya mazoezi saaana halafu ndani ya miaka kumi unagombana mara moja tu!
Ya nini kuumiza misuli yangu.