Tuwafahamu baadhi ya Masensei wetu wakongwe waliofanya kazi kubwa na wanaoendelea kueneza Misingi ya Karate Tanzania

Hua nachukia nikiona watu walevi wanaleta utani kwenye michezo yenye heshima duniani kama karate/kungfu n.k

Anyway, namkumbuka sensei dudley mawalla, moja wa wakufunzi mahiri kabisa wa kwanza kutokea tanzania katika shotokan..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sempai nao watajwe!!

"Masta" kama yupo atajwe pia
 
Sensei Magoma yupo wapi waungwana? Yule alikuwa kama Bruce LEE
 
Abdallah Hassan Mkamba Jeet Kune Do Teacher.Funga kazi kwa kanda ya ziwa.
Master Mfaume/Dar.
Master Ringo/Dar.
Master Kioka/Mwanza.
Sensei Amri/Mwanza(sensei kioka junior)
Master Clay R.I.P/Mwanza.
Suleiman kumcha/Musoma.
Ibrahim Kiumbe Rambo/Musoma brother respect.
Sensei Yahya Hassan R.I.P,Jeet Kune Do/Arusha.
 
ulikuwa unajifunzia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…