Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Young millionaire alikua DJ mzuri sana pale Kinondoni kwenye ukumbi wa Lang'ata social hall akisaidizana na Chriss Phabby,

Kama ni huyo ndio kaongelewa hapo.

Young millionaire niliyemkusudia kwenye huu uzi ni Muzamir Katunzi. Sidhani kama aliwahi kuwa DJ. Hata hivyo nikushukuru kwa concern yako.
 
Huu uzi mwandishi atakuwa na IQ nzuri.

Hapa JF unatakiwa upewe hata mji kama ile mitaa ya Nape.

Papaa Mutarika Mzee wa Mambo mengi:

Huyu brother wa umri wa akina papaa Msofe.

Ni wa Tunduma alikuwa mwajiriwa wa TRA na mke wake fundi cherehani.

Upapaa wake ni kama uliisha baada ya ajira ile kukomeshwa, umaarufu ulimponza.

Uzi mzuri sana huu.
 
Mtawali-Yadi yake ya Magari inatazamana na Ostabay Police- alikuwa matata kwa totoz! Ila aliwai kutwa na skendo ya kufumaniwa na mke wa jamaa mmoja hivi ambae nae alikuwa mtoto wa Mujini .Ilimfanya siku moja anunue magazeti yote yaliokuwa na hii storyNchi nzima?? Ilikuwaje?? Siku nyingine😂
 
shukrani sana mamndenyi senior mhenga.[emoji1431][emoji1431]
 
hao wote nawajua kaka, wengine nimeacha kuwataja ili nitoe nafasi kwa wana JF kufunguka.

mzee rwegasira namkumbuka sana, alikuwa mmiliki wa club ya silent inn, baadae akaokoka na kuachana na biashara za masuala ya burudani.
Nimekuelewa ila nimekurudisha nyuma kwanza ukumbuke rhumba lilianza kunoga enzi za Silent huku Mustahiki meya wa Jiji Allan Mulumba Kashama akirap kama Titinaa Alcapone au Robert Wunda Ekokota wa Wenge Musica Bcbg 4 × 4 kipindi hicho Wenge ndio wametowa nyimbo yao ya Kien Bunjee na Saplaisi Kapangala.
 
Kaka umeupiga mwingi sio kwamba unajua tu la hasha. Umeandika vizuri Sana yaani hapa hii article ingekuwa kwenye gazeti lingeuza Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…