King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hatari sana enzi hizo Twanga ya Moto ,Ally Choki wa Moto.Hawa wasanii wao kusifiasifia kutaja watu tu...wengi magumashi
Nmekumbuka enzi zile za twanga pale mango..... wana vuma mm mwenyewe nlikuwa mdau sana wa ile bendi 😄
Sasa kuna siku show yao pale inapigwa mara akaingia jamaa mmoja alikuwa maarufu kino na mtu wa ngada..jamaa kuingia tu na team twanga wakamrusha....jina 😄 jamaa wacha amind ilibd awafate jamaa wa bendi akataka kuwaletea uzushi.... 😄 ila jamaa naye alishapotea kwenye game choka
Ova