Haaaahaha kwani huyo Kapuya mwenyewe pamoja na uprofesa ni mtu mwenye akili kweli??? Huyo Kapuya watakua ni wale watu toka sekondari hadi chuo kikuu ni watu wa madesa na connection mwisho wake wanatusua kibahati lakini upstairs ni zero. Simba huzaa Simba hata siku moja hawezi zaa mbuzi.Inasemwa Akudo ni kifupi Cha ATHUMANI...KULWA NA DOTTO (AKUDO)
Pamoja na kua profesa....kapuya Hana mtoto mwenye akili wala mtoto msomi....(Brainy)
Inasemekana malezi ya kuwalea watoto kama mayai zimechangia kuwaharibu
Ni wababe sana watoto wake nasikiaga baraka alikua anatembezea Rungu wake za watu hapo kaliua........
Wajuvi wataongezea....
Sio Lyatonga aliechomesha alikua Hassan Diria akiwa waziri wa mambo ya nje wapemba/waunguja +wabara wajanja wajanja wengi walikimbilia Kenya then wanaruka mamtoni, ndio akawashtua waingereza mchongo wakauziba wakafuta entry wakaweka viza kuanzia 1996.Lyatonga si ndy alituchomesha akawaribia wabongo viza UK
Entry
Bandika bandua watu walizipiga sana
Ova
acha tukuelimishe kidogo.Wanamuziki wa Congo wanakwama wapi? Mbona wanaonekana wana hela ila bado wana ishu za kusifia sifia watu ovyo kama vile machawa?
Hivi Msafiri Diof yupo wapi yule mwamba ? ,Kwenye mtu pesa alikua na vibe sanaTusimsahau MCD kwenye nyimbo za Twanga pepeta
Franco alikuwa Sungura inasemekana alikuwa na bifu na Rais Mobutu akakimbilia Ufaransa, basi uchaguzi ulipokaribia ndio Franco akatowa hiyo nyimbo ya kumsifu kumpamba na kumuabudu mobutu.acha tukuelimishe kidogo.
kwa mziki wa rhumba ambao asili yake ni congo, kutaja majina ya watu na kuwasifia ni utamaduni wa siku nyingi. umeanza kitambo sana tangu enzi za kina franco luambo makiadi.
kwao kutaja majina ya watu mashuhuri kwenye nyimbo ni lifestyle, ni sehemu ya ufahari kwa pande zote mbili, anaetaja na anaetajwa(win win situation).ni platform ya kujitengenezea brand ktk jamii, ni sehemu ya kuonyesha uwezo wako wa kipato na mamlaka. pia ni sehemu ya ku establish close friendship kati ya wanamuziki na anaetajwa.
wapo wanaotajwa bila hata ya kuombwa fedha na wanamuziki. wanamuziki wenyewe wanajisikia proud kutaja majina hayo.
kuna track moja ya franco ilitoka mwanzoni mwa miaka 80s, inaitwa "candidat na biso mobutu"(itafute youtube),humo ndani mwanzo mwisho franco anamsifia aliyewahi kuwa rais wa taifa hilo mobutu sese seko.
tukija kwenye suala la kipato,wanamuziki wa congo level ya akina mpiana, koffi na werra wapo vizuri sana kifedha, usiwachukulie poa. baadhi yao wanamiliki majumba paris na brussels.
ahsante sana kwa uafafanuzi nimekuelewa vizuri sana mwamba[emoji123]Usichanganye mambo. Tchatcho ni aina ya muziki uliobuniwa na Koffi enzi hizo. Akawa anaupromoti kwenye nyimbo zake. Ila Chacho anayeongelewa ni mtu kwa jina la Chacho Mbala.
asante kwa dondoo kaka.[emoji1431][emoji1431][emoji1431]Franco alikuwa Sungura inasemekana alikuwa na bifu na Rais Mobutu akakimbilia Ufaransa, basi uchaguzi ulipokaribia ndio Franco akatowa hiyo nyimbo ya kumsifu kumpamba na kumuabudu mobutu.
Mobutu baada ya kusikia hiyo nyimbo alimpigia simu Franco na kumuomba arudi nyumbani azunguke naye kwenye kampeni kama Kapteni Komba na CCM.
Baada ya Franco kukubali proposal ya Mobutu basi alitumiwa ndege kubwa Ufaransa kwa heshima yake imrudishe nyumbani Zaire.
Kapuya ana akili za darasani,sema ujana wake hakula sana bata! Lakini baada yakupata pesa na akapata nafasi serikalini ndiyo akaamua kula bata! Sasa ndiyo maana kwenye matukio ya ajabu ajabu jamaa alikua anaonekanaHaaaahaha kwani huyo Kapuya mwenyewe pamoja na uprofesa ni mtu mwenye akili kweli??? Huyo Kapuya watakua ni wale watu toka sekondari hadi chuo kikuu ni watu wa madesa na connection mwisho wake wanatusua kibahati lakini upstairs ni zero. Simba huzaa Simba hata siku hawezi zaa mbuzi.
Umesema kweli kabisa mkuu! Wanamziki wengi sana wa Congo hua wanataja majina ya watu maarufu! Kuna wimbo mmoja nadhani ni Masuwa wa JB Mpiana,kuna sehemu anamtaja mtoto wa Mobutu,nadhan anaitwa Joseph aka Sadam Sele,ukisikiliza vibaya unaweza sema anamtaja Sadam Hussein aliyewahi kua Rais wa Iraqacha tukuelimishe kidogo.
kwa mziki wa rhumba ambao asili yake ni congo, kutaja majina ya watu na kuwasifia ni utamaduni wa siku nyingi. umeanza kitambo sana tangu enzi za kina franco luambo makiadi.
kwao kutaja majina ya watu mashuhuri kwenye nyimbo ni lifestyle, ni sehemu ya ufahari kwa pande zote mbili, anaetaja na anaetajwa(win win situation).ni platform ya kujitengenezea brand ktk jamii, ni sehemu ya kuonyesha uwezo wako wa kipato na mamlaka. pia ni sehemu ya ku establish close friendship kati ya wanamuziki na anaetajwa.
wapo wanaotajwa bila hata ya kuombwa fedha na wanamuziki. wanamuziki wenyewe wanajisikia proud kutaja majina hayo.
kuna track moja ya franco ilitoka mwanzoni mwa miaka 80s, inaitwa "candidat na biso mobutu"(itafute youtube),humo ndani mwanzo mwisho franco anamsifia aliyewahi kuwa rais wa taifa hilo mobutu sese seko.
tukija kwenye suala la kipato,wanamuziki wa congo level ya akina mpiana, koffi na werra wapo vizuri sana kifedha, usiwachukulie poa. baadhi yao wanamiliki majumba paris na brussels.
Sema wacongo kwa kutunga majina wako vizuri. Imagine kuna mtu wakawa wanamwimba "ASKOFU WA KWANZA" 😄😄. Hadi kuna mdau hapa kauliza kama huyo Askofu ana uhusiano na kanisaHa hah ila Wakongo na njaa zao wakiamua kukupamba utapewa kila aina ya cheo,wewe warushie buku 10 tu na usikose kwenye dansi lao.ila shida wakikuzoiea wanahamishia shida zao kwako.
Edhi = EnziAISHA ulimbukeni wa uzuri ulimzuzua
alivyokuwa mnenguaji TWANGA kila pedeshee alimtaka yeye sas alivyoingia kwenye madawa ndio kabisa akaanza kupoteza
analetwa MWANANYAMALA HOSPITAL hoi taabani hakuna pedeshee hata mmoja aliyekuja hata wanamuziki pia mana walimsaidia mpk wakamchoka mpaka KIFO kikamchuka ni cha kudhadhalilika sana
sema nini MUNGU ndio anapanga KIFO
ingekuwa EDHI ya sasa kunywa madawa kidogo ingekuwa ahueni na hili la kunywa madawa ndio lilimsaidia RAY C ama sivyo angekufa KIFO KIBAYA sana kama cha AISHA
ila watoto wa siku hizi ukiwaambia Edhi zetu za dansi
wanenguaji walikuwa wanasajiriwa na kuhama kwa DAU kubwa la uhamisho kama wachezaji mpira
na MNENGUAJI aliyewahi kuvunja RECORD kwa dau kubwa la uhamisho ni QUEEN SUZY
hio ilikuwa ni jeuri ya mapedeshee bwana
huyo jamaa jina lake lilitajwa sana na wenge BCBG katikati na mwishoni mwa miaka ya 90 kabla ya viongozi wa kundi hilo(jp mpiana na werrason)kutofautiana.Umesema kweli kabisa mkuu! Wanamziki wengi sana wa Congo hua wanataja majina ya watu maarufu! Kuna wimbo mmoja nadhani ni Masuwa wa JB Mpiana,kuna sehemu anamtaja mtoto wa Mobutu,nadhan anaitwa Joseph aka Sadam Sele,ukisikiliza vibaya unaweza sema anamtaja Sadam Hussein aliyewahi kua Rais wa Iraq
Mercedes Benz model ipi?maana hata hapa bongo watu wa kawaida tu hizi Mercedes(C-200,C-230,,E-240,E-320) walikua nazo, Mwenye S-class miaka ndio angetisha sanaWana pesa mno,magari aliyonayo koffi olomide, fally na JB mpiana wasanii wetu hawana,hao jamaa Wana ma Bentleys,Ferrari,rolls Royce, mtu Kama JB mpiana alikuwa na Mercedes Benz mwaka 1999 huko
Wafuatilie YouTube uone mijengo yao
Noma sana!Pedeshee Samia, mama ya kodi.
Kizai zai chokq mbaya anapanda boda boda saivi...kigambon nyumba aliuza baada yakumwuzia bmw mtoto wa wazir flan zenj ,bmw ilikua na gia box mbovu ikaamuliwa arudishe pesa akawa hana ndo akauza nyumbq yake kigamboni....kuandika wala kusoma hajui muda wote alikua anatembea na chawa wakusoma mesej zikiingia nakujibuKizaizai naona hali si nzr sahv
Ashukuru Ana kibanda kigamboni
Alafu kizaizai kama anajua kusoma
Na kuandika labda atakuwa amejifunza sahv
Ova
Duh kumbe kauza kibandaKizai zai chokq mbaya anapanda boda boda saivi...kigambon nyumba aliuza baada yakumwuzia bmw mtoto wa wazir flan zenj ,bmw ilikua na gia box mbovu ikaamuliwa arudishe pesa akawa hana ndo akauza nyumbq yake kigamboni....kuandika wala kusoma hajui muda wote alikua anatembea na chawa wakusoma mesej zikiingia nakujibu
Mercedes 200 , cabriolet, MERCEDES 190, Mkuu lakini zilikuwa Ni gari nzuri Sana Sina hakika Kama Kuna wasanii huku walikuwa nazo au wanazoMercedes Benz model ipi?maana hata hapa bongo watu wa kawaida tu hizi Mercedes(C-200,C-230,,E-240,E-320) walikua nazo, Mwenye S-class miaka ndio angetisha sana
Usifanye masihara na mtu asiyejua kusoma na kuandika halafu amekulia mjini. Huwa wanajitahidi kuwa wajanja sana. Kuna jamaa nilifahamiana naye zamani alikuwa anafanya biashara ya madawa ya mifugo. Alikuwa anazijua dawa balaa tena yeye Wafugaji walikuwa wanapenda bidhaa zake (alikuwa hana duka ni mkono kwa mkono) kwa sababu walimchukulia ni msomi. Akiwa na bidhaa dawa mpya ananitafuta nimtafsirie matumizi kwa Kiswahili na mambo mengineyo kwenye bidhaa, hapo ananipanga nimuone labda ni Kingereza tu cha kwenye bidhaa ndiyo kinampa shida (kwa sababu mdomoni kuchanganya this na that yupo vizuri), akitoka hapo akienda kwa wafugaji hata wale wakubwa wanachukua bidhaa chapu. Siku moja ndiyo rafiki ananiambia jamaa kusoma na kuandika hajui, nilishangaa sana! Halafu alikuja kuoa Mwalimu wa shule ya msingi hahaaa!!Duh kumbe kauza kibanda
Sasa kwa wakati huu utamtaoeli
Nani kiboya,kila mtu anakuwa mjanja
Yah nilishasema humu jamaa hajuwi
Kusoma wala kuandika,namjua kizaizai tokea anaoshaga magari mjini hapa
Na nilishawahi kumchanaga ktk vitu muhimu ajifunze kusoma na kuandika tu,vitamsaidia mbeleni
Sema wasiyojua kusoma na kuandika wanakuwaga wajuaji sanaaa
Ova
Umemsahau fikir madindaAwali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes.
Huu uzi ni wa sisi ma-seniors, maudhui yake yatagusa zaidi vijana wenzangu ambao maturity liwakuta kuanzia late 90s to early 2000s.
Mwaka 2002 mpaka 2012, mziki wa dansi ulikuwa upo kwenye prime time.
Kwa uchache tu, band zilizotamba ni FM Academia, Akudo Impact, Twanga Pepeta na Diamond Musica. Zingine zilikuwa zinaibuka na kupotea ndani ya muda mfupi.
Umaarufu wa hizi band ulienda sambamba na trend ya wanamuziki kutaja majina ya baadhi ya watu kwenye mashairi yao.
Majina ya hawa watu yalivuma na kuwa maarufu kuliko sura zao kwasababu miaka ile kulikuwa hakuna social platform za ku-share picha na video kama ilivyo hivi sasa.
Kutokana na kujichanganya kwangu ukijumlisha na ujanja wangu wa kimjini mjini wa miaka ile, nilifanikiwa kufahamiana na baadhi mapedeshee au wazee wa mujini ambao majina yao yalikuwa yanatajwa kwenye mziki wa dansi.
Nitataja ninaowakumbuka na wewe ongeza wa kwako.
Naandika majina yao kama yalivyokuwa yanatamkwa kwa mbwembwe na wanamuziki.
Kwa mfano kama mtu alikuwa anaitwa John, wanamuziki walikuwa wanatamka papaa John Young Millionaire Muzee ya ma-Range Rover[emoji3][emoji3].
Haya twende kazi:
Pedeshee Mychoice na kati ya Mbeya:
huyu sijui alikuwa anapiga mishe gani huko Mbeya, watu wa Mbeya mtatusaidia.
Braza K na kati ya Tunduma:
Watu wa Tunduma mtatusaidia kutujuza kuhusu huyu jamaa, alivuma sana.
Mamaa Rukia Soloon:
Huyu bibie namfahamu, ana saloon yake ya kike mitaa ya Mikocheni barabara ya Rose Garden. Those days she was very pretty, kwa sasa utu uzima umemchukua.
Mamaa Dotnata Decoration:
Bila shaka wengi mnamkumbuka, aliwahi kuwa muigizaji maarufu kupitia ITV, baadae akaingia kwenye ujasiriamali wa kutoa huduma za catering, shughuli hizi zilimpatia mafanikio sana. sijui kwa sasa yupo wapi huyu mama. FM Academia waliwahi kumtungia wimbo wenye jina lake.
Mamaa Juddy Moshi:
Alikuwa mmiliki wa band ya Daimond Musica kwa financial support ya mshua mmoja ambaye alikuwa ni MD wa Yellow Pages, watu wa zamani wanaelewa. Juddy alikuwa mrembo si kitoto, kwa sasa umri wake umesonga mbele.
Pedeshee Akayesu Ndama Mutoto ya Ng'ombe:
Sina haja ya kumuelezea, ni mtu maarufu wa nyakati zote. Wajanja wa mujini watamuelezea zaidi. Jina lake lilitajwa sana kwenye nyimbo za dansi zilizovuma.
Young Millionaire Bill gate Muzamir Katunzi:
Christian Bella aliwahi kutunga mpaka wimbo wenye jina hilohilo la Muzamir Katunzi. I don't know him personally, but it's told he was financially successful.
Papaa Msofe Chuma cha Reli hakishiki Kutu.
Sina haja ya kuandika mengi kuhusu umaarufu wa Papaa Msofe. Itoshe tu kusema jina lake liliimbwa sana halafu ni wachache waliokuwa wanajua sura yake. Walianza kuiona kwenye media alipokuwa anahudhuria viunga vya mahakama kujibu kesi yake.
Papaa Martin Kasianju.
Ni marehemu kwa sasa, huyu mshua ndio alikuwa mmiliki wa Band ya FM Academia. Nilikuwa namfahamu personally. licha ya kwamba alikuwa ni mjasiriamali na muajirwa Serikalini, pia alikuwa ni Senior Officer wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Andrew Traders na Kariakoo Big Supply: Jamaa alikuwa ni mfanyabiashara wa kuuza tairi za gari Mtaa wa Agrey Kariakoo huku akipiga michongo yake ya "general supply". Watu wa mujini wa zamani wanaelewa vizuri maana ya kampuni kusajiliwa kwa jina la general supply. Katika biashara ya kuuza tairi, alishirikiana na kaka yake, ila yeye akawa maarufu zaidi na akaaminika na wadau.
Kinje Mutoto wa Mujini:
Najua wengi mnamfahamu na zile deal zake alizokuwa anapiga. sina haja ya kumuelezea zaidi.
Pedeshee David Kabunga:
Sifahamu alikuwa ni nani, jina lake lilikuwa linatajwa sana.
Papaa Ally Kileo:
He was a prominent lawyer in town, jina lake lilikuwa linatajwa sana kwenye nyimbo za dansi.
Papaa Mutarika Mzee wa Mambo mengi:
Binafsi simfahamu, wajanja wa mujini wa zamani watajazia nyama kumuelezea.
Chef Justice Rugaibura:
Binafsi simfahamu, wajanja wa mujini wa miaka ile watajazia nyama kumuelezea.
Chief Kiumbe le Big Boss:
Anafahamika vizuri, jina lake lilitajwa na kuimbwa sana na wanamuziki wa band. wajanja wa zamani wa mujini watajazia nyama kumuelezea
Papaa Amos Makalla mzee wa Mvomero:
Kwa sasa ni RC wa Dar, jina lake lilianza kuvuma kitambo sana kabla hata hajaingia kwenye siasa.
Fikiri Madinda Mukuu wa kazi: Anafahamika vizuri, wajanja wa zamani wa mujini watajazia nyama kumuelezea
Pedeshee Abdul Mkeketa:
Huyu wakati fulani aliwahi kuwa mbunge ktk Mkoa wa Morogoro, sikumbuki ni jimbo gani. kwa sasa ni marehemu.
Charles Mutawali Muzee ya Magari.
Binafsi simfahamu, wajanja wa zamani wa mujini watajazia nyama kumuelezea.
Saidi Mukuu wa lumumba:
Jamaa alikuwa dalali wa kuuza magari pande za Lumumba.
Meddy Kitendawili....?
Ben Mulokozi....?
Salim Chicago Matelefone...?
Kizaizai....?
Omary Tolu...?
Abduli Tolu...?
Joshua Limited...?
Muddy Nyamalonda mzee wa Pamba...?
China wa China...?
Shaibu Mapajero....?
Moris Mariaga Rais wa Sinza...?
Ntenze wa Ntenze....?
John Nzenze....?
Papaa Madenge....?
Note of Appreciation.
sikujua kama huu uzi ungewavutia watu wengi kiasi hiki. niwashukuru wote mnaoufatilia na mnaochangia maoni yenu. asanteni sana wadau.[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]