Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Ben Mulokozi....?
Salim Chicago Matelefone...?
?/
Kizaizai....?
Omary Tolu...?
Abduli Tolu...?
Joshua Limited...?
Muddy Nyamalonda mzee wa Pamba Kali...
?
China wa China...?
Shaibu Mapajero....?
Moris Mariaga Rais wa Sinza...?
Ntenze wa Ntenze....?
 
Charles Mtawali nimemfahamu toka 2002 alikuwa anafanya biashara na bro wangu muuza spare used ni mmoja wa waanzilishi wa mwanzo mwanzo kabisa wa yards za magari barabara ya Kawawa show room yake ilikuwa pale Morocco alikuwa mtu mmoja peace sana nahisi mpaka sasa ipo.

Kipindi hiko ukiingia show room hakuna cha kusema niagizie sijui Subaru sijui Mazda hiyo itafika mwakani ulikuwa unakutana na machaguo kadhaa tu either uchukue MarkII Grand Kisu,MarkII Mayai au Chaser Avante single glass or double glass (Balloon bado hazijafika bongo),Corolla Limited au Corona ST 150 hizi ni gari za 80/90s huko ukitaka SUVs uchukue Suzuki Vitara 5 doors,Land Cruiser Prado II au VX ya Mrema au uchukue Hilux Surf 4×4 Off Road ambazo ni gari walikuwa wananunua wachache kutokana na ukubwa wa bei.

Said Mukuu wa Lumumba na Omar Tolu hawa nao niliwahi kuwaona walikuwa wauza magari na wapokea bond za magari wadau wakikwama mpunga town maskani yao ilikuwa pale Lumumba wanaowajua waliowahi kufanya nao kazi wanasema hawa jamaa hata urudishe mkopo wote ibaki laki hiyo hela huipati mpaka siku mkataba wenu unaisha na gari wanachukua.

Salim Chicago yeye alikuwa na show room yake town pale ilipo clock tower round about ya kwanza ukitoka Mnazi Mmoja kuelekea town mkewe wakati wa Kikwete aliukwaa ubunge viti maalumu,huyu mkewe alikuwa na scandal ya kutembea na driver wao jamaa mmoja akiitwa Mwinyi muhuni wa Manzese Chicago akamfukuza kazi,waya ulimchukua huyu dereva kwenye mwaka 2015/16.
 

Wakina IDD JANGUO nilikuwa nawaskia sana ali choki akiwataja
 
Idd janguo yupo kinondoni tu
Katuliaa hakuna hela za baba sahv
Anafanya kazi

Ova
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
hawa jamaa akina iddi janguo baba yao alishawahi kuwa mbunge wa kibaha?.
 
Ben Mulokozi....?
Salim Chicago Matelefone...?
?/
Kizaizai....?
Omary Tolu...?
Abduli Tolu...?
Joshua Limited...?
Muddy Nyamalonda mzee wa Pamba Kali...
?
China wa China...?
Shaibu Mapajero....?
Moris Mariaga Rais wa Sinza...?
Ntenze wa Ntenze....?
Kizaizai naona hali si nzr sahv
Ashukuru Ana kibanda kigamboni
Alafu kizaizai kama anajua kusoma
Na kuandika labda atakuwa amejifunza sahv

Ova
 
Kalamu nilishachukua sasa hapo tunaandika nini
 
Kuna mambo yakipita yamepita kurudi ni majaaliwa.nikikumbuka enzi zile za wazee wa Ngwasuma mji ulikua wa moto kila kona.
Na wimbo wao wa taifa wa Dunia kigeugeu daah [emoji126][emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…