Tuwafanyaje Hawa?

Tuwafanyaje Hawa?

Hivi unaanzaje kufanya matusi na mtu kabla hata hamjapima ukimwi? unakua na haraka gani? Maisha yako yote hujawahi fanya? ukiwa unapenda kuchovya chovya ovyo, na kuonjesha onjesha hovyo wala usilalamike kwani unapata haki yako ya msingi kuambukizwa ukimwi.

Jamani acheni urongo! wewe huwa unapimaga kwanza!
 
Back
Top Bottom