A man with one idea
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 126
- 268
- Thread starter
-
- #21
Well said .Together as oneOn behalf of dog lovers am waving from this side[emoji112]
sisi wataalamu wa wanyama tunakuelewa sana kiongozi. Ahsante sana kwa kutukumbusha.Ndugu zangu ,tuwapende na kuwalinda wanyama wote.View attachment 2308008
Together as onesisi wataalamu wa wanyama tunakuelewa sana kiongozi. Ahsante sana kwa kutukumbusha.
Thanks brogoood idea
PAMOJAThanks bro
Dah ckumuona !Kuna jamaa humu Jana kaja na Uzi wa kuwpaiga ngedere nyumba ya kupanga[emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
👋 Yaani mimi mtu ambaye anapenda au ana mazoea ya kuwaumiza na kuwadhulumu mbwa. Hata wale wa kuzurura zurura tu mitaani, huwa sina imani kabisa na ubinadamu wake. Huwa naiona kama 'reflection' ya roho yake na mtizamo wake, hata kwenye mahusiano yake na binadamu wengine.On behalf of dog lovers am waving from this side👋
Thanks for your recognition bro.[emoji112] Yaani mimi mtu ambaye anapenda au ana mazoea ya kuwaumiza na kuwadhulumu mbwa. Hata wale wa kuzurura zurura tu mitaani, huwa sina imani kabisa na ubinadamu wake. Huwa naiona kama 'reflection' ya roho yake na mtizamo wake, hata kwenye mahusiano yake na binadamu wengine.
I am proud to say kwamba nawaamini mbwa sana, zaidi ya binadamu(sanasana hawa wa enzi hizi). Hongera sana A man with one idea, nimeipenda sana hii mada yako. Tuwatunze wanyama.
Sisi bongo wanyama sijui tunawachukuliaje!... India ndio mahali pekee duniani ng'ombe huishi kama wako peponi; ole wako umguse ng'ombe mbele ya wahindu. Ila wanazurura ovyo mitaani hawana hata mwenyewe; wanachafua sana mitaa. Na akiwa anakatiza barabara magari na waenda kwa miguu wote husimama kwa heshima yake.