Tuwaheshimu na kuwatunza Wanyama

Tuwaheshimu na kuwatunza Wanyama

On behalf of dog lovers am waving from this side👋
👋 Yaani mimi mtu ambaye anapenda au ana mazoea ya kuwaumiza na kuwadhulumu mbwa. Hata wale wa kuzurura zurura tu mitaani, huwa sina imani kabisa na ubinadamu wake. Huwa naiona kama 'reflection' ya roho yake na mtizamo wake, hata kwenye mahusiano yake na binadamu wengine.

I am proud to say kwamba nawaamini mbwa sana, zaidi ya binadamu(sanasana hawa wa enzi hizi). Hongera sana A man with one idea, nimeipenda sana hii mada yako. Tuwatunze wanyama.
 
... India ndio mahali pekee duniani ng'ombe huishi kama wako peponi; ole wako umguse ng'ombe mbele ya wahindu. Ila wanazurura ovyo mitaani hawana hata mwenyewe; wanachafua sana mitaa. Na akiwa anakatiza barabara magari na waenda kwa miguu wote husimama kwa heshima yake.
 
[emoji112] Yaani mimi mtu ambaye anapenda au ana mazoea ya kuwaumiza na kuwadhulumu mbwa. Hata wale wa kuzurura zurura tu mitaani, huwa sina imani kabisa na ubinadamu wake. Huwa naiona kama 'reflection' ya roho yake na mtizamo wake, hata kwenye mahusiano yake na binadamu wengine.

I am proud to say kwamba nawaamini mbwa sana, zaidi ya binadamu(sanasana hawa wa enzi hizi). Hongera sana A man with one idea, nimeipenda sana hii mada yako. Tuwatunze wanyama.
Thanks for your recognition bro.
 
... India ndio mahali pekee duniani ng'ombe huishi kama wako peponi; ole wako umguse ng'ombe mbele ya wahindu. Ila wanazurura ovyo mitaani hawana hata mwenyewe; wanachafua sana mitaa. Na akiwa anakatiza barabara magari na waenda kwa miguu wote husimama kwa heshima yake.
Sisi bongo wanyama sijui tunawachukuliaje!
 
Back
Top Bottom