fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
nyimbo tamu sana hii hasa nikiwaga na maokoto nayamwaga geto afu nafungulia huo wimbo feeling nayopata kama niko americaππ
Clap along if you feel like a room without a roof⦠Because I'm happy
KwakweliWatu tuliovunjika moyo ndo playlist zetu hizi
Nammiss kila wakati, huu wimbo huwa nausikiliza mpaka umenichoka wenyewe!
Unammiss yupi sasa ex au wa sasa?Nammiss kila wakati, huu wimbo huwa nausikiliza mpaka umenichoka wenyewe!
Ex kwenye moyo wangu alishasahaulika.Unammiss yupi sasa ex au wa sasa?
Hongera sana kwa kua muaminifu, watu walioondoka kwenye maisha yetu ipo sababu Mungu katuepusha nao hakuna ulazima wa kulazimisha mambo muhimu ni kuwasahau tuEx kwenye moyo wangu alishasahaulika.
Wa sasa ndio mambo yote π
Sasa machawa tumefanyajee π€£π€£π€£π€£π€£pharell wiiliams happy
hhii iwaendee wana jf wote kaspro machawa tu
nyinyi machawa jau sitaki kuwasikia mmenifanya nkose madili em tokeni apa na meno yenu ya kuunguaππSasa machawa tumefanyajee π€£π€£π€£π€£π€£
Nmeuchukua huu mzuri sanaπsilius hubby..??ππ
rewrite the stars - James Arthur ft Anne-marie,πβ¨
first song uliwahi nidediketia hapa JF, sijawahi usahau..!!π
π€£π€£π€£π€£ sisi ndyo tupo sasanyinyi machawa jau sitaki kuwasikia mmenifanya nkose madili em tokeni apa na meno yenu ya kuunguaππ
π€£ hyo nyimbo haiwahusu kaeni chonjoπ€£π€£π€£π€£ sisi ndyo tupo sasa
Pm will be the best[emoji120]Nilishaziachaga toka 2022 huko.. sema nikufundishe namna ya kuziacha
tangulia nakujaPm will be the best[emoji120]
Silius hubby I swearβ ππ
What if we rewrite the stars?
Say you were made to be mine
Nothing could keep us apart
You'll be the one I was meant to find
So why don't we rewrite the stars?? Eti hubby?
ππ Ngoja niingie studio nisake mwingine ambao hujawahi kuusikia π₯π₯
ππ
Mmenifanya kuanza kutafuta wimbo wa kuwa bless nao, Nina playlist za kutosha mpaka nashindwa kuchagua,Nmeuchukua huu mzuri sanaπ
Mmenifanya kuanza kutafuta wimbo wa kuwa bless nao, Nina playlist za kutosha mpaka nashindwa kuchagua,
Hebu jaribuni Positions ya Ariana Grande kama mpo in love..!!
View attachment 2873908
watu wanaporana tuMdakuzi ndio anaepiga kwa sasa?
Umenichoka aisee π€π€¨ ila mie nakupa hii dedicationdedication kwa mudada nae mu admire sana Unique Flower
View: https://www.youtube.com/watch?v=Mqm00gwKGwI
Boo mbona hujanitag kwa wimbo wa mahaba ni mtu mwingineπ€£ hyo nyimbo haiwahusu kaeni chonjo