Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya


1. Njama
2. Hofu
3. Kufa na kupona
4. Hujuma
5. Kikosi cha Kisasi
(All by A.E. Musiba)
 
Kamlete akibisha Mlipue
HAini
Mbali na Nyumbani
Msako wa Hayawani
Rosa Mistika
Dunia Uwanja wa Fujo
Sanda ya Jambazi
 
Wakuu mi nina kiu ya kufa kwa vitabu vya Edi Ganzeli. Nilisoma kazi zake nikiwa bado mdogo na nyingi sikua nimezianzia mwanzo ama kuzimaliza.

Mwenye kuweza kunisaidia namna ya kuvipata hivyo vitabu ani-pm tafadhali.
 
mkuu unavipata wapi hivi vitabu.?
 
Bomu la madawa sikumbuki mwandishi,bonge la stori la wauza ngada,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…