Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
John Maziwa Magufuli!Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa mikoa inayotoa wanasoka wengi hapa nchini toka nchi imepata Uhuru.
Leo tuwataje wanandinga wenye asili ya mkoa wa Kigoma ambao waliwahi kuwika nchini katika mchezo wa soka.
Naanza na Said Sued "Scud"...
Acha uongo Sanifu Lazaro ni wa Muleba Kagera na Fred Félix Minziro ni wa Kagerawengine ni:
Athumani Juma, Aloo Mwitu, Nondo Mikidadi, Hamisi Askari, Makumbi Juma, Sanifu Lazaro, Mavumbi Omari, Saidi Swedi(Scud), Saidi Swedi wa sIMBA, Salum Swedi.n.k, n.k.
Taja na Morogoro.
Mpaka sasa ni vigumu kulinganisha wanasoka wazuri kati ya Morogoro na Kigoma. Hao ndiyo top Tanzania, wengine wanajaribu tu.
Msiisahau pia Tanga.wengine ni:
Athumani Juma, Aloo Mwitu, Nondo Mikidadi, Hamisi Askari, Makumbi Juma, Sanifu Lazaro, Mavumbi Omari, Saidi Swedi(Scud), Saidi Swedi wa sIMBA, Salum Swedi.n.k, n.k.
Taja na Morogoro.
Mpaka sasa ni vigumu kulinganisha wanasoka wazuri kati ya Morogoro na Kigoma. Hao ndiyo top Tanzania, wengine wanajaribu tu.
Edibily jonas lunyamili huyu mtu alikuwa hatari sana sana sanaMkoa wa Kigoma ni miongoni mwa mikoa inayotoa wanasoka wengi hapa nchini toka nchi imepata Uhuru.
Leo tuwataje wanandinga wenye asili ya mkoa wa Kigoma ambao waliwahi kuwika nchini katika mchezo wa soka.
Naanza na Said Sued "Scud"...