a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Watoto wadogo pia kama ilivyo kwa watu wazima nao wanapitia vita vya kiroho kutoka kwa adui Falme za nguvu za giza na mawakala wa nguvu za giza.(shetani,wachawi,mapepo n.k)
kwa uzoefu wangu mdogo wa kulea wajukuu zangu hawa wawili mmoja wa kiume yupo darasa la tano na mdogo wake wa kike yupo darasa la 4.Ambao ninawalea hapa kwangu.
1)ONGEA ZUNGUMZA NA WATOTO
Kuna familia ya bibi,wazazi na watoto wadogo ilihamia hapa jirani na ninaposishi katika nyumba mpya ikiwa kwenye hatua za finnishing ila mmiliki wa nyumba aliwaomba wakae bure waitunze na kuilinda .Ile familia ikiwa na watoto wawili mmoja wa kike na mmoja wa kiume wa rika sawa na wajukuu zangu.
Wale watoto walikuwa hawasomi shule ,na muda mwingi walikuwa wanapenda kuja kucheza nyumbani na wa kwangu kwa vike ni rika moja na ni majirani sikuona shida,na wa kwangu wakawa wanaenda kucheza kwao.
Siku moja nimelala ndani ,watoto walikuwa wanacheza karibu na dirisha la chumba changu nikasikia sauti za wale watoto wa jirani wanaongea na wa kwangu,nyie si mnajifanya matajiri sana ,mtaona kwanza wewe anamtaja yule mjukuu wangu wa kike utakuja kugongwa na gari ufe..?
Hawakujua kama nimewasiikia,jioni nikakaa na wajukuu zangu nikaanza kuzungumza nao..
MASWALI NIKAWAULIZA
Kama huwa wanakula /wamewahi kula au kunywa au kupewa choxhote ..wa kiume akasema huwa nakataa,wakike akasema aliwahi kula ugali na mlenda na alipokula ulikuwa mtamu sanaa,ila nyumbani huwa halagi hiyo mboga hata ikipikwa..ila kwa watu alikula.
Nikauliza tena...Huwa wanawaambia nini wanaongea nini zaidi ..MAONGEZI ya wale watoto wa jirani yanatisha ..kwamba watakuja kuwachukua wajukuu zangu wawapeleke kwa shangazi yao anaishi baharini mwarabu anavaaga kitambaa chekundu na cheusi kichwani ,.. na nguo nyekundu ,halafu huko baharini watatupa tu mayai halafu bahari inafunguka wanaingia ndani..
Na ile kauli aliyomtabiria yule mdogo kuwa atakuja kugongwa na gari afe...na kwamba eti nyie kwenu mnajifanya matajiri sana...kwa sababu ya vitu vidogo tu tunavyomiliki ambavyo ni vya kawaida..
NIKAULIZA TENA USIKU HUWA MNAOTA NDOTO GANI..
Mkubwa huwa naota nakimbizwa na hawa majirani ,halafu wanatufinya tunaliaaa...wao wanatucheka
Yule aliyekula kwa watu akaota pia usiku analishwa chakula..anhaa nikawa nimeshajua mchezo unaoendelea katika ulimwengu wa kiroho.
HATUA NILIYOICHUKUA
Nikaanza kuwa traini kusali kwa bidiii,kuhudhuria nao kwenye semina za neno la Mungu na maombi ,kusoma biblia nikawanunulia biblia za picha za watoto ,katuni za bible story zikielezea biblia nzima kwa picha za katunii SUPERBOOK sesson 1,2,3..,na story book ya simulizi za biblia ,tukawa tunasali usiku pamoja familia sebuleni kabla ya kwenda kulala,semina za maombi nikawa naenda nao kwenye maombi semina za neno la Mungu ,NIKAWAZUIA wasiangalie maudhui ya tamthilia za kidunia ,na manyimbo ya kidunia,katuni za kidunia..Wasiende kucheza kwa watu wala watoto wa watu wasije kucheza hapa mpaka kwa ruhusa mpaka kwa ruhusa maalumu au kama ni kucheza watacheza kanisani na watoto wenzao na shuleni vipindi vya michezo huko shileni kwao .
WAKAENDELEA KUKUA KIROHO WAKAWA wananiuliza maswali ya ufahamu kuhusu Mungu,mbunguni,motoni ,shetani,na mitume ..na manabii wa biblia..na kuhusu Yesu.
Wakawa wameiva wanaendekea kukua kiroho wakawa wamejua kusali na kuomba na kusifu na kuabudu,wakawa wamejua dhambi ni nini?na kutubu na kuacha dhambi...na kujua amribza Mungu na sheria za Mungu,na wakawa wanajua baadhi ya mistari ya biblia wakwa wanashiri kwaya za watoto na sherehe za mikaeli na watoto,na mistari ya moyo,mitihani ya bible school shileni ja sunday school wakawa wanafanya vizuri sana mpaka wanapewa zawadi.
NIKAWAULIZA SIKU HIZI MNAOTA NDOTO GANI USIKU..baada ta wiki kadhaa kupita.
Nimeota wale watoto wananikimbiza nikakimbilia kanisani...wakasema bahati yako umepona.
Siku nyingine nimeota wananikimbiza nikakimbilia nyimbani ukanifungulia mlango nikaingia wakasema unabahati kweli.
Siku zilivyoenda walivyozidi kuomarika nikawa kila jumamosi saa12 na nusu alfajiri naenda nao kwenye jumuiya na jumapili kanisani,na siku za katikati ya wiki kama kuna huduma ya maombi naenda nao,na kama wamefunga shule morning glory asubuhi naenda nao..wakawa sasa wameanza kukomaa kiimani wanajua kisali ,imani yao imekomaa..HATA TELEVISION hawaangalii tena maudhui ya kishetani,violence,nudities,na katuni za kidunia yani walikuwa wanaangalia ,upendo tv ya dini safari tv wanyama,discovery,maudhui ya dini kwaya,sinema za mafundisho dini..
Kadri siku zinavyozidi NIKAWA NAFUATILIA wanisimulie NDOTO WANAZO OTA USIKU..hii ndio ilikuwa kipimo kimoja wapo cha kijua hali ya kukua kiroho waliyofikia.
NDOTO NZURI..
wanaota ndoto tupo kanisani..tunaali tunaombea watu au tunaaimba kumsifu Mungu na kusali..
Wanaota wametokewa na mtu anang'aa usoni ana mavazi meupe akawaambia unakaribishwa mbinguni..
mara wanapaa na Yesu wanapaa kwenda mbinguni..
siku ngingine kaambiwa katubu dhambi utasamehewa..
siku nyingine ndoto nyingine..kuna mwanamke mmama kaja kaingia ana macho mekundu yanawaka mwali mwekundu anataka kuwaunguza wakasali akaanza kuungua yule mama akakimbia..
Hakuna tena NDOTO za kulishwa usiku ndotoni kukimbizwa ndotoni..
Ndoto nyingine waliyonisimulia
yule wa kiume akaota kuna shule moja nilimuamisha mana niliona usafiri wao unasumbua,kurudisha nyuma kuna mtoto wa darasa lao alionekana na hirizi shuleni ..akawa anaongea vitu havieleweki vya kishirikina ...(alikuja kufukuzwa shule huyu mtoto)
Ndoto aliota yupo kwenye hiyo shule aliyokwisha hama ambayo ilikuwa na yule mtoto aliyekutwa na hirizi akafukuzwa..akaona nfotoni wanafunzi wa darasa zima wana majeraha wengine wamekatika mikono miguu wengine wana maheraha yanatoa funza...isipokuwa yeye huyo mjukuu wa kiume ..na pembeni yake alikuwa na mtu mweupe na mavazi yake meupe yakun'gaa sana,akamuuliza yule mtu mwenye mfano wa MALAKA..mbona hawa wote wameumia hivi kwanini??yule malaika akamjibu kwa SABABU HAWA WOTOTO HAWASALI ,WEWE UMEPONA KWA SABABU UNASALI..
Na ufaulu wa watoto ukaongezeka na amani ndani ya nyumba ikaongezeka na upendo ,na umoja..nafuraha..
WATOTO WANAOTUMIKA NA NGUVU ZA GIZA.
Katika semina za maombi tilizokuwa tinahudhiria kama familia na watoto ,kulipatikana pia baadhi ya watoto wadogo wa miaka 6 /7 ambao walikuwa wanatumika ba nguvu za giza.
mfano mtoto mmoja wa kiume anasema yeye huwa kila siku usiku anakuja kuchukuliwa na watu na bibi yake wanaenda makaburini..alilipuka mapepo katikati ya maombi..
LEO PIA MCHUNGAJI ALIKUWA NA IBADA MAALUMU KWA AJILI YA KUOMBEA WATOTO.
Wamepatikana watoto wadogo wawili kama mika 9-10 wa kike ,wamelipuka mapepo wakaanza kuongea mipango yao ya kuharibu watoto wa kanisa na kuwaingiza katika ushirikina na kuwaharibu future zao na nguvu za maombi na utii kwa wazazi,na wakubwa walimu,kuwaharibu tabia wawe jeuri na mambo mengi..ya uharibifu..
tumewaombea wale watoto...wakafunguliwa..
HITIMISHO.
Watoto wetu pia wanawindwa na adui...na kwa sasa watoto wadogo wenzao ,huko mtaani wanakoishi,mashukeni wanakosoma na hata nyumba za ibada wanaposoma,mawakala wa shetani,na kuzimu mapandikizi kwa kazi maalumu ya kuua maisha ya kiroho na uharibifu wapo kila sehemu tena watoto wadogo wenzao hata makanisani wapo.
TUCHUKUE HATUA YA KUWAFUNDISHA WATOTO WETU silaha za kupambana VITA VYA KIROHO na adui yao shetani na falme za giza PIA TUWAOMBEE WATOTO WETU tuwatolee sadaka,na kuwafundisha maombi,sadaka,neno la Mungu,wamjue Mungu na ufalme wa giza jinsinunavyofanya kazi na mitego ya shetani..
TV TELEVISION si kila kinacho oneshwa na television kinafaa vingi ni mashambulizi ya adui ..kupitia vipindi vya television..
Kama unaweza ku limiti vitu wanavyoabgalia watoto wako kwenye TV,wanavyosikiliza ,hata kupitia simu janja.
NENO..LA LEO
Mlee mtoto wako katika njia impasayo naye hata iacha hata atakapokuwa mzee .
VITA NI KUBWA..ILA KWA JINA LA YESU .TUMESHINDA..